mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kabisa!Kiduku pia usimsahau na suruali zake kama mapipa ya maji.
Ninazungumzia vazi la kitaifa!! Mama Samia havaagi vazi la kitaifa!! Vazi lake ni la kidini!! Popote utakapomwona utajua kuwa yeye ni dini gani lakini hapa tunazungumzia vazi la kitaifa linalomtambulisha mtu kuwa ni mtanzania! Hadi sasa mtanzania huko nchi za nje huwezi kumtambua kwa vazi lake kuwa ni mtanzania!Ata sijui umeandika nini hapa kwani mama samia amewahi kwenda kichwa wazi huko anakoenda nje? ni jambo la kawaida sana kwenye kivazi wala sioni haja kuleta hii thread, mimi nadhan ungetaka kujua kwanini India inaunga mkono ujio wa Biden
Kwamba wakristo hawafungi ushungi?Ninazungumzia vazi la kitaifa!! Mama Samia havaagi vazi la kitaifa!! Vazi lake ni la kidini!! Popote utakapomwona utajua kuwa yeye ni dini gani lakini hapa tunazungumzia vazi la kitaifa linalomtambulisha mtu kuwa ni mtanzania! Hadi sasa mtanzania huko nchi za nje huwezi kumtambua kwa vazi lake kuwa ni mtanzania!
Lete vazi la India lilotajwa kwenye katiba yao kwamba hili litakuwa ndio vazi la kitaifaNinazungumzia vazi la kitaifa!! Mama Samia havaagi vazi la kitaifa!! Vazi lake ni la kidini!! Popote utakapomwona utajua kuwa yeye ni dini gani lakini hapa tunazungumzia vazi la kitaifa linalomtambulisha mtu kuwa ni mtanzania! Hadi sasa mtanzania huko nchi za nje huwezi kumtambua kwa vazi lake kuwa ni mtanzania!