RIGHT MARKER
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 129
- 473
(C&P) - "Mgeni Maalumu wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uongozi na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe ambaye pia ni Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein".
š Hongera sana Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) kwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu katika Uongozi kutoka Chuo Kikuu Mzumbe (MU).
š Hongereni pia wahitimu wote wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki kuu - Morogoro (MU) ambao leo mlisherehekea mahafali yenu. Kila la kheri kwa wahitimu wajao wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya (MU-MCC) (28/11/2024), na Ndaki ya Dar es Salaam (MU-DCC) (05/12/2024).
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM