Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

jamaa yuko fair Sana kwenye ukweli anasema Hana upande sio Kama chalechale mkambala pumba tupu
 
Walikuwaga zamani hao ila baada ya kupigwa ban na TCRA sa iv wamekuwa kama TBC, huko channel 10 kila baada ya muda lazima waweke matangazo ya Makonda mara kuhusu barabara, mara ujenz wa nyumba za walim, na upimaji wa afyA buree..
Sasa cjui anawazamini au ni shobo zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Magic FM wako vizuri tu..hizo ni chuki zako
 
Sidhani kama kuna mtangazaji anaweza kumfikia kibwana kwanza huyu jamaa ni mkongwe kwenye taaluma hiyo na mchambuzi aliyebobea
 
Kibwana Dachi kwa jina lingine anaitwa Google, huyu bwana ni Hazina nzuri sana kwa watanzania wanaohitaji habari, ni mchambuzi mzuri wa mambo mengi yanayoendelea ndani na ana uelewa mpana kabisa.

Salum Mkambala poa sio mbaya huwa anachangamsha sana jukwaa la Morning magic, kwahiyo umzoee tu, Orest ndo kubwa la maadui pale
 
Mbona husemi kuwa Oras Kawau ni Bavicha kabisa.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu Mzee kafanya kazi sehemu mbalimbali hivyo anajua mengi tofauti na hawa wengine bado ni wachanga kwenye tasnia. Kwa uwezo wao wapo vizuri
 
aka google,kwanza jamaa anaonyesha anasoma na kujua vitu vingi sana,anakumbukumbu za hari ya juu sana,huwa namkubali sana,hakuna kitu asichokijua hasa kuhusu nchi hii,na huwa anajibu kwa usahihi
 
aka google,kwanza jamaa anaonyesha anasoma na kujua vitu vingi sana,anakumbukumbu za hari ya juu sana,huwa namkubali sana,hakuna kitu asichokijua hasa kuhusu nchi hii,na huwa anajibu kwa usahihi
Sana huyu jamaa kweli akiwepo Redio huwa anatoa vitu wakina Mary Edward na Mr OK wanashangaa tu
 
Ukweli aise jamaa yuko makini na kazi yake. Pia magic FM wako vizuri ktk Magazeti na Napaka rangi.iko poa yaani
 
Back
Top Bottom