tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
- Thread starter
- #81
Jamaa nampenda ni mkweli ktk uchambuzi wake na haonyeshi kuwa yuko upande fulani kama Kawau anaonyesha ni Chadema,Mary Edward neutral na Mkambala CCMKweli Kibwana Dachi ni mtangazaji mahiri anajua anachoongea kwa usahihi japo sauti yake huwa chin sijui ni ile mic anayoongelea,ila tatizo ni akina kawau na team yake kuingilia kati kumkatisha pale anapoongea hiyo usababisha nichukie sana kukosa point ya Dachi.
Ombi langu naombeni sana Kawau na team yako mwacheni Kibwana Dachi atoe maelezo ya kina pale anapotoa ufafanuzi wa jambo fulan,msipende kumkatishakatisha anapoteza point.
Nitaanza kuwasikiza kesho km mtamkatiza tena wana JF mashahidi