Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

Hongera sana Mtangazaji na mchambuzi Kibwana Dachi wa Channel Ten na redio Magic FM kwa kazi nzuri

Kweli Kibwana Dachi ni mtangazaji mahiri anajua anachoongea kwa usahihi japo sauti yake huwa chin sijui ni ile mic anayoongelea,ila tatizo ni akina kawau na team yake kuingilia kati kumkatisha pale anapoongea hiyo usababisha nichukie sana kukosa point ya Dachi.

Ombi langu naombeni sana Kawau na team yako mwacheni Kibwana Dachi atoe maelezo ya kina pale anapotoa ufafanuzi wa jambo fulan,msipende kumkatishakatisha anapoteza point.

Nitaanza kuwasikiza kesho km mtamkatiza tena wana JF mashahidi
Jamaa nampenda ni mkweli ktk uchambuzi wake na haonyeshi kuwa yuko upande fulani kama Kawau anaonyesha ni Chadema,Mary Edward neutral na Mkambala CCM
 
Kwa Ujumla kipindi chao hawa Jamaaa wamejipanga sana.

Wako vizuri na wamejitahidi kujiweka katika kila idara katika jamii. Japo Kibwana Dachi ndo muhariri wa kipindi.
Jamaa wamejipanga sana hawa.
 
Back
Top Bottom