Magic FM wako vizuri tu..hizo ni chuki zakoWalikuwaga zamani hao ila baada ya kupigwa ban na TCRA sa iv wamekuwa kama TBC, huko channel 10 kila baada ya muda lazima waweke matangazo ya Makonda mara kuhusu barabara, mara ujenz wa nyumba za walim, na upimaji wa afyA buree..
Sasa cjui anawazamini au ni shobo zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uwezo wake ni mdogo. Wa kuchambua mambo!! Mtu wa papala sana.kuna haka ka mkambala kanafiki sana na kanajipendekeza kwa watawala sijui kamekula maharage ya wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mzee kafanya kazi sehemu mbalimbali hivyo anajua mengi tofauti na hawa wengine bado ni wachanga kwenye tasnia. Kwa uwezo wao wapo vizuriMbona husemi kuwa Oras Kawau ni Bavicha kabisa.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wapi nimetaja chama.!
kabisa mkuuJamaa anajitahidi sana
Sana huyu jamaa kweli akiwepo Redio huwa anatoa vitu wakina Mary Edward na Mr OK wanashangaa tuaka google,kwanza jamaa anaonyesha anasoma na kujua vitu vingi sana,anakumbukumbu za hari ya juu sana,huwa namkubali sana,hakuna kitu asichokijua hasa kuhusu nchi hii,na huwa anajibu kwa usahihi
yuko poa sana,alafu hanaga upendeleo wala kuegamia upande mmojaSana huyu jamaa kweli akiwepo Redio huwa anatoa vitu wakina Mary Edward na Mr OK wanashangaa tu