Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

Hongera sana Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Simba SC kwa kumfyeka msaliti Godfrey Kaburu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama.

Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
 
Kaburu hatufai kwa sasa bora alivyofyekwa Hapo Mangungu anabeba tena
 
Mimi nipo hapa nimekaa nasoma comments. Hao waliotajwa siwafahamu kwa undani zaidi ya kuyasikia majina yao. Na huyu mwenyekiti wa sasa, siyajui makondokando yake. Ngoja niendelee kupata nondo kutoka kwa wakereketwa wa timu yetu pendwa Simba- nguvu moja.
 
Kama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama.

Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
bro sio usahili ni usaili
 
Nadhani wamefuata taratibu na Kanuni za Simba sio matakwa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom