GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simkubali kabisa huyu Murtaza Mangungu na najua hatopita labda Wanachama wa Simba SC warejee tena Kosa walilolifanya Miaka minne nyuma.Kaburu hatufai kwa sasa bora alivyofyekwa Hapo Mangungu anabeba tena
Mangungu pale hana sauti sijui kwa nini labda katiba inambanaSimkubali kabisa huyu Murtaza Mangungu na najua hatopita labda Wanachama wa Simba SC warejee tena Kosa walilolifanya Miaka minne nyuma.
Huyu ni Msaliti wa Matokeo ya Simba.Mangungu pale hana sauti sijui kwa nini labda katiba inambana
bro sio usahili ni usailiKama Msaliti Godfrey Nyange Kaburu angepitishwa katika Usahili na kuwa Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Simba ningewadharau Viongozi wangu wa Simba SC na hasa Wanachama.
Nawapongeza waliomfyeka Kaburu.
Kwenu kuna Tv?La Yanga na GSM limefikia wapi Ndugu Prince?