Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Asante sana mkuu, kwanini hajiulizi katiba hiyo hiyo inampa mamlaka kumteua head of Judiciary( Judge mkuu) hadi hapa huyu akiyeteuliwa anawezaje kuwa sawa na aliyemteua!
 
Kama mtu umeisoma katiba inatamka wazi raisi anajakumu la kusimamia mambo yote yaliyo ndani ya katiba na ndio mlinzi wa katiba, in other words raisi anamamlaka ya ku intervene popote, kuwa above sheria zozote (maana sheria ni zao la katiba) iwapo kuna viashiria vinavyotishia katiba. Sasa kama raisi akiona mikutano ya kisiasa inaweza leta uvunjifu wa amani kama mlinzi wa katiba he can do whatever he wants to prevent it katiba imempa mamlaka hayo.

Taasisi ya uraisi ndio serikari (kupitia cabinet office) ndiy inayopanga vipaumbele vya matumizi yote ya umma, separation of power ni kwenye kufanya technical zao independently sio namna wanavyotumia hela za walipa kodi hayo yanaamuliwa na budget ya serikari na kiongozi wake mkuu ni raisi.

Haya mambo yanadhiirisha ubovu wa washauri wa siasa kwenye politics heck raisi mwenye bila ya wasaidizi wake anatakiwa ajue maamuzi yake yanatokana na mamlaka gani kisheria. Mi ndio maana huwa naona over 80% ya watu walio kwenye siasa awana ata huo ufahamu wa siasa yenyewe.
 
Hakuna hata cha maana alichoongea zaidi kujifagilia Mimi nimechaguliwa hutaki unataka
 
Kwa ujumla ni namna tu ya kujionyesha kuwa Pascal anajiamini lakini wakati mwingine ni ukosefu wa kufikiri kwa kina.Rais ndiye kiongozi wa nchi anayetambulikana na wote.Mwenye mamlaka.Hiyo mihimili mingine ipo kweli lakini kwenye karatasi.Sisi wananchi tunamjua Rais ,mambo ya bunge na mahakama ni baadaye.Rais ana uwezo,ana mamlaka hata ya kunyonga.Anaweza vilevile kuacha kutia saini ya kunyongwa kwa aliyehukumiwa na mahakama ya juu. Kumuuliza rais uwezo kaupata wapi ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu na ukosefu wa adabu vilevile.
 
mayalla ni njaa,kuna maana pale,ni pasco huyu huyu alikua upande wa lowassa kipindi cha kampeni.
Mayalla"njaa" hoyeeeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…