Mkuu
denooJ, kwanza asante kukumbushia hili swali, kiukweli kabisa, zaidi ya uandishi wa habari, nimeongea face to face with Nyerere, Mkapa, JK, JPM na Samia, pia nawafahamu kwa karibu top brass wote wa CCM kuanzia M/Kiti, KM, N/KM, Mwiny, Mwenezi, wale viongozi wa UV CCM, UWT na Wazazi, kila nikiomba kugombea, nakatwa kwasababu kunakuwa na watu wengi zaidi, wazuri zaidi yangu, hivyo huwa nakatwa kihalali kabisa!.
Lakini kama hili swali kuna yoyote anayeliona ni doa!, huyo ni mtu goigoi!. Swali hili ni very valid!, viongozi wetu tunawachagua kwa mujibu wa katiba na kuwaapisha kuilinda katiba, haiwezekani mtu aliyeapa kuilinda katiba, halafu aje aikanyage katiba!. Nilichouliza ni alitumia mamlaka gani?.
Kwa vile hakuna anayefahamu ni kwa nini JPM alitwaliwa mapema, ikitokea hii ni moja ya hizo sababu, tuna wajibu wa kumsaidia Mama kwa kumuelimisha kitu kinachoitwa karma, kwa msisitiza afanye the right thing before it's too late!, aruhusu tuu mikutano ya vyama vya siasa ASAP, vinginevyo....
Kwanza mimi ni miongoni mwa watu wanaomuunga mkono Mama kwa 2025 Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila sasa kuna vitu akina sisi tumeisha anza kuelezwa kuhusu hiyo 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
Hivyo japo sio vitu vya kuvitilia maanani, lakini sii vitu vya kuvipuuzia!.
P