Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

SIKU HIZI UKIWA UPANDE TOFAUTI NA WENGINE UNAONEKANA HAMNAZO? ILA TUNASAHAU KUPANGA NI KUCHAGUA
Hakuna anaewaza wote kuwa upande mmoja Ila kuna vitu mtu unaongea watu wanakuona mPumbavu
niambie wale wapuuzi wa mjengoni unaweza kusema wako timamu wale
 
You are weak

Una gubu
Chuki
Fault finder

Paskal ni mwanafamilia humu, awe kabadilika au la kwa unavyoona, ni mwanafamilia wa JF

JF sio ya chama fulani au opinion moja tu, utofauti wetu ndio unalifanya jukwaa kuwa hai, moving na gripping

Unapomuanzishia thread member mwenzako wewe ndio unakuwa weak

Tufanye kweli labda paskal hajafanya unavyotaka, kweli Pasko ndio obstacle ya CDM kuingia ikulu? Ndio chanzo cha kutopata huduma safi? Ndio kabana hela?

Kwa nini usi focus kwenyewe yaani huko CCM top?

Wewe ni wale wakigombana na mke hasira unazipeleka kwa watoto... You can not from no where unamkumbuka paskal na kumuanzishia thread, your life must be fckd somewhere

Hii ni mipasho, naiignore

Paschal mwenyewe kaipa like hii mada, wewe ni nani hadi uje kimbelembele kutema povu?
 
Japo mi sioni baya anachoandika.

Pale kwenye kusifia anaandika, pale kwenye kukosoa anakosoa na kutoa maoni yake.

Sasa watu walitaka asifie upinzani pekee which is wrong to me.... wapinzani yapo mengi wanafanya madudu hatuwezi wasifia tu na yapo mengi serikali inafanya vizuri hatuwezi kuponda tu.
Kweli
 
Back
Top Bottom