Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Maswali yalikuwa magumu sana, sijui alitegemea anayemuuliza amjibu vipi, kama sio kuona anataka kumuaibisha
 
Kumbe huyu mwamba alikuwa na akili hv maswali Kama haya hua tunayasikia kwenye kipindi flan sikumbuki vizuri kati ya CNN au BBC Kuna mzungu flani hua anawahoji watu maarufu wanasiasa ,Marais nk,Sasa nini kimempata huyu mwamba anataka kufanana na wakina kessy,msukuma,kibajaji& coy
 
Toka alivyoshauri Serikali iufungie mtandao wa Twetter Tanzania mpaka leo simwelewi, Ila Mwandishi mmoja mwenye weledi wa juu sana.
 
Pasco Hana njaa hizo mnazofikiri.
Pasco anachofanya ni survival tricks Tu Kwa sasa...
Akiwa pure kama zamani njia ni moja Tu
Ben Saanane,Azory n.k

Huwezi risks hadi well being ya watoto kisa
Kutetea mijitu isiyo jielewa kama watz wengi walivyo...

Japo mi sioni baya anachoandika.

Pale kwenye kusifia anaandika, pale kwenye kukosoa anakosoa na kutoa maoni yake.

Sasa watu walitaka asifie upinzani pekee which is wrong to me.... wapinzani yapo mengi wanafanya madudu hatuwezi wasifia tu na yapo mengi serikali inafanya vizuri hatuwezi kuponda tu.
 

You are weak

Una gubu
Chuki
Fault finder

Paskal ni mwanafamilia humu, awe kabadilika au la kwa unavyoona, ni mwanafamilia wa JF

JF sio ya chama fulani au opinion moja tu, utofauti wetu ndio unalifanya jukwaa kuwa hai, moving na gripping

Unapomuanzishia thread member mwenzako wewe ndio unakuwa weak

Tufanye kweli labda paskal hajafanya unavyotaka, kweli Pasko ndio obstacle ya CDM kuingia ikulu? Ndio chanzo cha kutopata huduma safi? Ndio kabana hela?

Kwa nini usi focus kwenyewe yaani huko CCM top?

Wewe ni wale wakigombana na mke hasira unazipeleka kwa watoto... You can not from no where unamkumbuka paskal na kumuanzishia thread, your life must be fckd somewhere
 
Back
Top Bottom