Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mary Mary Mary, ndio mimi,ala sawa tuwekee itakuwa ni huyuhuyu
Thanks, I'm humbled.
Paskali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mary Mary Mary, ndio mimi,ala sawa tuwekee itakuwa ni huyuhuyu
Mkuu Ichana, ikitokea tena, nitazingatia.Tuliangalia na tumeona juhud zako.jitahid kutumia hekima msafara wa mamba na kenge,nguchiro na mijusi wa kichwa chekundu wapo.tunataman tena itokee na upate chance ya kuitwa tena ikulu.usibishane sana na wachache wasiotambua fani yako
Na watanzania wote tuwe jasiri km huyu msukumakwa kweli Mayalla kauliza swali zuri kwa kujiamini sana
Tatizo wengi wanaaBaadhi ya waandishi ni mizigo kwa kweli.
Mm nimefurahishwa na aliyeuliza kuhusu
-Katiba
-ajira
sijamsikia aliyeuliza kuhusu fao la kujutoa, waandishi wetu bado sana hata mukulu maswali kajibu kisiasa sana
hongera kiongoziMkuu Mary Mary Mary, ndio mimi,
Thanks, I'm humbled.
Paskali
kwanini asitangaze kampuni na kituo chake cha kazi? lazma aseme ili afahamike istoshe ni wa kujitegemea .... big up paskali hiyo ni biashara.. unaitangaza kadiri ya uwezo wako na popote pale.lazma ccm msimfurahie maana alishindwa kujibu hilo swali na nina uhakika wakipewa muda na paskali patachimbika nakumbuka nilikuwa nakimbilia tv kuangalia kitimoto cha paskaliMayala alianza hotuba,kujifagilia na kutangaza kampuni yake na kujipigia debe la kutafuta fursa ikulu .Sehemu kubwa ya aliyonngea yalikuwa hasa ya kujinadi mnadani yeye binafsi.Kwangu naona kama aligeuza Ikulu na ile press conference kama gulio la kujinadi zaidi kuliko kuuliza swali.
Umechanganya mkuu.. akiwemo ndo linaitwa national assembly au legislature,asipokuwepo ndo linaitwa parliament..
Haha. Pascal ni km mzee wa upako tuu. Kazi zao wanazijua, na kuumbuka ni hivyo.Wala majibu ya RAIS hayafai hata kidogo sjalizka nayo
Tatizo la watu km pascal kadiri wanasogelea panono,ndivyo wanavyotupa kamba ya maadili na self control ,ndivyo wanavyokuwa na faida kwa wadhalimu.kwanini asitangaze kampuni na kituo chake cha kazi? lazma aseme ili afahamike istoshe ni wa kujitegemea .... big up paskali hiyo ni biashara.. unaitangaza kadiri ya uwezo wako na popote pale.lazma ccm msimfurahie maana alishindwa kujibu hilo swali na nina uhakika wakipewa muda na paskali patachimbika nakumbuka nilikuwa nakimbilia tv kuangalia kitimoto cha paskali
Lini mtaweza ona kundu zenu ,msibaki km nyani. JF haijawahi kuwakosa watu km nyie, wanaopost ujinga kwa malipo na faida ya watawala.Sasa mmepotezwa kabisa, mkichangiwa na umuhimu wa JF kupotea kadiri walivyoamua uza heshima yao. Sasa mnalia tuuJF imeharibika kabisa, sio ile iliyokuwa na mijadala ya kutuelimisha yale tuliyokuwa hatujui, kutufurahisha kwa utani wa hapa na pale tukiwa tumechoka ila sasa ni ya kuudhiana na kukarahishana.
Ila nimegundua baada ya matumizi ya smartphone kuwezesha kuingia mitandaoni inekuwa shida. Vichaa na wehu ambao uwezo wa kumiliki computer binafsi au kutumia ya Ofisi sasa wanaingia tuu JF hata kwa simu ya wizi na kuharibu heshima yetu
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
View attachment 429403
Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Hakuna atakayekuelewaPasco mbona umekimbia Thread yako ya kujifagilia kwa kumuumbua anayekupa kula mjini?
ha haNi wawili mkuu, Sami Awami wa BBC naye kamchapa swali la Demokrasia ameshindwa kujibu kifasaha. Maswali magumu anapanic.
Ni kweli kabisa kisukuma malaya ni njaa wale watt wanaozaliwa misumu ya njaa wanaitwa majina hyo usukumaniMaana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli