Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ni rahisi sana kuwanasa watu wa kanda ile kwenye 'misifa' jamaa aliikana hii real ID yake mara kadhaa ila nimeshangaa leo anatembea nayo kifua mbele!!Haha..Bichwa limepanda akjiona anakaribia promo.Hawa ndio wale wakishajikomba komba wanapita ktk media kudai kwamba watu wanalala hawachangamkii fursa.Sijui hawajui hesabu kwamba wakijikomba wengi napo competition itaongezeka kwani nafasi ni chache na uwezekano waa kukosa ni mkubwa.Pia hawajui kuna vitu ni profession na ni haki si fadhila km ccm ilivyowalea.
Yaani km ni huyu jamaa na kubebwa njaa haijaasha na hajaweza jitegemea ipo kazi hii nchi. Km wale watangazaji wa magorofani wametoka hijapita mwaka wamerudi kwa mungu wao.Watoto wa dar zaidi ya magazeti na dili za kubebwa hawana ujanja.Wakiachiwa wanaanguka km kuku.Ni aibu mkuu. Hawa jamaa wakaribu ni mzigo kwa taifa,na kila kitu kuanzia media wanatumia ktk abusive ways na si productive way. Ndio maana mabepari hutucheka, watu wa rangi. Screen time zetu ni upuuzi tupi tukidhani ni mambo makubwa sana.Angalia vipindi vya TV, angalia cinema zetu, sera zetu, hotuba za viongozi, mahusiano ya watendaji na viongozi ni kujipendekeza mpaka hatujui haki, umakini na udhamini wetu wa data, tunaingiza uchafu ktk computer za idara zote tunaita data, tafiti za kipuuzi tunafanya ili tujidanganye na kudanganya wengine.
Tazama huyu ndie Pasco Mkongwe kajificha ktk ujinga miaka yote,sasa hivi ktk ukangaroo anataka stage ya kutokea.Miaka yote kabebwa mpaka waliombeba wamezeeka hatembei tuu.
Kama Mtukufu tu ni rahisi sana kumwondoa kwenye key ukimpa sifa au ukimkosoa!!
Ila nimebaki kucheka tuuu... kumbe pasco ni mdogo wangu Pascal Mayalla!!!
But nampongeza kwa 'kipaji' kinamuweka mjini kimtindo!!