Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Haya ni mawazo ya kijinga na kipumbavu kukumbatia UDINI katika kipindi hiki,Mawazo kama haya wajinga na wapunbavu ndiyo uti wa mgongo wa fikra zao finyu!!
Ndio maana nashangaaa how can someone so intelligent be so islamophobic???
 
Kaka kweli unadegree unauliza Mhe unapenda nini? wakati kuna matatizo mengi kama masoko, mikopo, promotion kwa watumishi, ajira mpya, hali mbaya mtaani, mikutano ya kisiasa maana ndiyo kazi yao, mambo kibao. Ni kweli Rais wetu namkubali sana mimi binafsi na amefanya mengi mazuri lakini kuna mengine anatakiwa kukumbushwa.
Mkuu Shemeji Babati (nina tawi Babati), lile ni swali zuri, kiuandishi linaitwa "human interest story", kunapofanyika mahojiano very serious kama yale, mkiuliza maswali magumu tuu, session inaboa kwa sababu mjibu maswali anakuwa ana too tense na maswali serious tuu, hiyo human interest questions ina m soften na na kujisikia at easy na ndio maana mlishuhudia Magufuli akifunguka.

Paskali
 
Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?

Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?

Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Mkuu Kimbunga, lengo la separation of powers ni kuweka checks and balances.
Ni kweli kwenye hiyo mihimili, mmoja ni mightier than the others, pia nafahamu kuwa rais ni sehemu ya Bunge kwa uwezo wa kuliunda, kulivunja na sheria zinazotungwa na Bunge haziwi sheria hadi rais aridhie kwa kusaini. Pia rais ni sehemu ya mahakama kwa kuteua majaji na adhabu ya capital punishment haiwezi kutekelezwa hadi rais asaini, muingiliano huu ni statutory, lakini serikali haipaswi kuingilia uhuru wa Taasisi hizi kssatika uendeshaji kama ilivyofanywa.

Yaani Jaji Mkuu au Spika akampigie magoti rais kumuomba ruhusa ya kusafiri! . This is not right! . Jukumu la serikali ni kutoa tuu fedha za chakula na mboga, na kuwaachia wenyewe waamue watapika nini na watapikaje lakini sio mtoa pesa kuingia hadi jikoni kuwaamulia ni chakula gani na wanapikaje.

Lile la pili la mamlaka ya kwenda kinyume cha katiba hakulijibu.

Paskali
 
Nataka kutoa pongezi zangu za dhati kwa mwanajamiiforum mwenzetu kwa swali pekee lililokwenda shule, kwa Rais japo swali limejibiwa kisiasa zaidi,
Wana jf wenzangu hebu tumpongeze member mwenzetu Pasco kwa kutuwakilisha vyema,
Mkuu Hero, asante kwa pongezi, japo sii kweli ndilo lilikuwa swali pekee. Kulikuwa na maswali mengi tuu ya msingi sana, likiwemo swali la Katiba, udikiteta, Zanzibar, etc, hata swali la mwana jf mwenzangu Kamanda Manyerere kuhusu Morocco, ni swali la msingi sana. Wakati wa Mwalimu, Tanzania tuliitambua Polisario, ukiisha itambua Polisario, kamwe huwezi kuikaribisha Morocco.

Paskali.
 
Pascal lile swali limekutoa kwenye kashfa ya Lumumba buku 7,hongera.....japo ni swali lisilokuwa na msaada kwa hali ya mtz sasa.
Mkuu Wise, kiukweli mimi sio mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote, tuhuma za buku 7 zinakuja kwa yeyote atakaye wachana wapinzani na madudu yao.

Nikuweke sawa kidogo Paskal, kuwa mwanachama,mfuasi au mshabiki wa chama chochote sio hoja sana. Hiyo yaweza kutokea hata kwenye soka. Waweza usiwe hivyo kwa club yeyote ila ukavutiwa sana na kabumbu la Arsenal.
Nawe nikikupima kwenye mizani nakuona kabumbu la siasa za nchi hi unafurahishwa sana na linavyo chezwa na Chadema.
Wapi kwingine? Maana hapo ndio waliofunuliwa akili walipo!
 
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.

View attachment 429403

Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.

Tayri keshaanza taka litumia kwa promo?Hii nchi shida. Mbona huyo ni walewale master maigizo bongo. Hayo maswali waliyoyaandaa walidhani kwamba yangefunika watanzania,ila yakawashinda wenyewe.ndio mtaona jinsi mikakati mingi ya watza ni ile ya watu Trump anawaita HORRIBLE PEOPLE.
 
Nikuweke sawa kidogo Paskal, kuwa mwanachama,mfuasi au mshabiki wa chama chochote sio hoja sana. Hiyo yaweza kutokea hata kwenye soka. Waweza usiwe hivyo kwa club yeyote ila ukavutiwa sana na kabumbu la Arsenal.
Nawe nikikupima kwenye mizani nakuona kabumbu la siasa za nchi hi unafurahishwa sana na linavyo chezwa na Chadema.
Wapi kwingine? Maana hapo ndio waliofunuliwa akili walipo!
Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja, wapenda demokrasia ya kweli toka ndani ya mioyo yao, hawawezi kupenda kuona chama dola, kinachofanya siasa za ghilba kupata uhalali wa kutawala kwa kuwekeza kwenye ujinga, uwongo, majungu na dhulma, hivyo wanaharakati wote wa kweli, lazima wataipenda Chadema kwa kuiona kama ndio tegemeo la kuwezekana angalau kupata demokrasia ya kweli ndani ya bunge.
Tatizo la Chadema ni lack of strategists hivyo kushindwa kuweka priorities za kupanga malengo na kutokujua adui yao halisi ni nani, as a result, wakatarget the wrong target, wakapigwa chini.

Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...

Paskali
 
Mkuu Wise, kiukweli mimi sio mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote, tuhuma za buku 7 zinakuja kwa yeyote atakaye wachana wapinzani na madudu yao.

Paskali
Pascal kwanini usiwe mkweli tuu.Tuondokane na hizi embarassments?Kwa ujumla kwa watu tunaongalia ndani na nje ya mstari huwa tunapata kichefuchefu sana na mambo ya bongo.Ingawa mnaweza lazimisha na kujipa ushindi.Ila days are coming mtapitwa sana na wakati. Yale mahojiano hayanakuwa na viwango na so many things went not as planned. So kindly , hembu tuongelee kufanya mahojiano serious. ningependa urudi mara ya pili nitakupa swali la kumuuliza km utakuwa na guts za kuuliza.Ni la heshima,ila sidhani km litatafunika.
 
Mkuu Chakaza, kwanza naunga mkono hoja, wapenda demokrasia ya kweli toka ndani ya mioyo yao, hawawezi kupenda kuona chama dola, kinachofanya siasa za ghilba kupata uhalali wa kutawala kwa kuwekeza kwenye ujinga, uwongo, majungu na dhulma, hivyo wanaharakati wote wa kweli, lazima wataipenda Chadema kwa kuiona kama ndio tegemeo la kuwezekana angalau kupata demokrasia ya kweli ndani ya bunge.
Tatizo la Chadema ni lack of strategists hivyo kushindwa kuweka priorities za kupanga malengo na kutokujua adui yao halisi ni nani, as a result, wakatarget the wrong target, wakapigwa chini.

Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM ...

Paskali
Kumbe wewe ndio ulikuwa unatengeneza hii mambo mkuu?Kumbe ndio Pascal wewe? Haha.Karibu ktk dunia ya kweli. Naona u-kangaroo umeshakuwa fani muhimu ya kuingiza kipato.Kwa ukanda wako na kila kila unafaa kucheza km filukunjombe bungeni.Eti mpinzania ktk chama tawala.Akili za kijamaa ni kichekesho sana.

Akili za KIJAMAA DUNIA inaweza zunguka zaidi ya mara mia over and over again ikikupita na kukupita bado upo hapo hapo unafanya mambo yaleyale.

Ungekuwa mwingine ningekuhurumia kukosa deal za zile sukukuu.Ila km ni wewe ukangaroo unaweza kuwa ni kitengo maalumnu na wewe ndie mkuu wake.Tirika mzee kwamba Chadema wamekosea wapi tena?
 
Pascal kwanini usiwe mkweli tuu.Tuondokane na hizi embarassments?Kwa ujumla kwa watu tunaongalia ndani na nje ya mstari huwa tunapata kichefuchefu sana na mambo ya bongo.Ingawa mnaweza lazimisha na kujipa ushindi.Ila days are coming mtapitwa sana na wakati. Yale mahojiano hayanakuwa na viwango na so many things went not as planned. So kindly , hembu tuongelee kufanya mahojiano serious. ningependa urudi mara ya pili nitakupa swali la kumuuliza km utakuwa na guts za kuuliza.Ni la heshima,ila sidhani km litatafunika.
Mkuu Nico
Nnipe tuu hilo swali na kunihakikishia kuwa nitaalikwa tena, nitakuulizia tuu, ila at mean time unaweza kuileta kwanza humu jf,

Paskali
 
Kumbe wewe ndio ulikuwa unatengeneza hii mambo mkuu?Kumbe ndio Pascal wewe? Haha.Karibu ktk dunia ya kweli. Naona u-kangaroo umeshakuwa fani muhimu ya kuingiza kipato.Kwa ukanda wako na kila kila unafaa kucheza km filukunjombe bungeni.Eti mpinzania ktk chama tawala.Akili za kijamaa ni kichekesho sana.

Akili za KIJAMAA DUNIA inaweza zunguka zaidi ya mara mia over and over again ikikupita na kukupita bado upo hapo hapo unafanya mambo yaleyale.

Ungekuwa mwingine ningekuhurumia kukosa deal za zile sukukuu.Ila km ni wewe ukangaroo unaweza kuwa ni kitengo maalumnu na wewe ndie mkuu wake.Tirika mzee kwamba Chadema wamekosea wapi tena?
Mkuu Niko, link nimekuwekea, ila pia naomba kukiri kuwa sisi binaadamu tunatofautiana uwezo wa uelewa, hivyo nenda kwenye hiyo link kama utaielewa nazungumzia nini, ukiona hujaelewa nijulishe, jf ni kusaidiana kwa kueleweshana, hata wazito wa kuelewa, tutasaidiana kueleweshana.

Haha..umeanza ukangaroo wenu. Unataka jifanya sikuelewi,kwa hiyo niende ktk hizo junks unazoandika huko?Pasco Acha mizaha. Kesho utapewa ukuu wa wilaya au kitengo pale kurugenzi.Ukafanye ukangaroo kisha udai wamewanukuu wakulu vibaya.Kwanini nisikupe kavu tuu ili ujipime na kutendea haki hili taifa?
 
Mkuu Nico
Nnipe tuu hilo swali na kunihakikishia kuwa nitaalikwa tena, nitakuulizia tuu, ila at mean time unaweza kuileta kwanza humu jf,

Paskali
Haha nikuhakikishie mimi kuitwa ? Haha..acha mizaha mkuu..Ila nijuavyo nasikia nyie ni wakaribu na mpo wengi sana.Na si rahisi kukosa watani kila kona ya nchi.Huwezi kosa zile ndogondogo zilizokuweka mjini muda. Hembu tumia hiyo fursa kulitendea taifa haki,uka ngaroo uache. Hata kule kwetu nimewakuta wenzio na wanapiga issue km vile wapo kwao,kwani kila mahali wajomba wapo na kwa ukaribu hawawezi acha ndugu afe njaa ugenini. Ila usisahau ukaribu na wingi wa watu ukizidi mwisho wanaobeba huo wingi wakiwa wachache wanawaachia tu muanguke chini.
 
Haha mkuu kumbe mods wameamua kumpa pasco real ID yake?

Kumbe ni Paschal Mayalla?

Ngoja nitoke kidogo, ntarejea.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hawa watu ni wale TRUMP ANWAITA HORIBLE. wananuka umasikiri wa fikra, wananuka kutojiamini, wananuka kuwa hovyo, njaa na ushabiki hauwatoki,kwa ujumla ni mzigo sana. , yupo ktk ukangaroo ktk mitandao na ktk yale maswali. Hivi unaamini kweli kweli huyu na wafanyakazi wengine km wa ile TV iliyolaaniwa na CHADEMA kweli wana ujanja wa kumuumbua mkuu?Au umachi know ulizidi ktk ukangaroo majibu hayakukusanya point za kutosha? Huyu Pascal nilikuwa napata shida sana kumuelewa kwanini anapenda ukangaroo.Kumbe ni walewale. Sasa atachekesha kwelikweli akija na stroy zake dhidi ya chadema km vitendawili vya chekechekea.Sijamsikia na mwenzie mwanakijiji, na yule jamaa wa mlimani mwenye ID za story za kichovu km wajamaa wengine.
 
Haha, sijajua hii ID kaitaka mwenyewe baada ya kupata kichwa au mods wameamua tuu,

Baada ya kubaini nimecheka sana!! I know this guy very well, bahati mbaya yeye kwa ID yangu hanijui!!

But jamaa ni kangaroo haswa!! Na zile threads zake za kubahatisha bahatisha!!
 
Haha..Bichwa limepanda akjiona anakaribia promo.Hawa ndio wale wakishajikomba komba wanapita ktk media kudai kwamba watu wanalala hawachangamkii fursa.Sijui hawajui hesabu kwamba wakijikomba wengi napo competition itaongezeka kwani nafasi ni chache na uwezekano waa kukosa ni mkubwa.Pia hawajui kuna vitu ni profession na ni haki si fadhila km ccm ilivyowalea.

Yaani km ni huyu jamaa na kubebwa njaa haijaasha na hajaweza jitegemea ipo kazi hii nchi. Km wale watangazaji wa magorofani wametoka hijapita mwaka wamerudi kwa mungu wao.Watoto wa dar zaidi ya magazeti na dili za kubebwa hawana ujanja.Wakiachiwa wanaanguka km kuku.Ni aibu mkuu. Hawa jamaa wakaribu ni mzigo kwa taifa,na kila kitu kuanzia media wanatumia ktk abusive ways na si productive way. Ndio maana mabepari hutucheka, watu wa rangi. Screen time zetu ni upuuzi tupi tukidhani ni mambo makubwa sana.Angalia vipindi vya TV, angalia cinema zetu, sera zetu, hotuba za viongozi, mahusiano ya watendaji na viongozi ni kujipendekeza mpaka hatujui haki, umakini na udhamini wetu wa data, tunaingiza uchafu ktk computer za idara zote tunaita data, tafiti za kipuuzi tunafanya ili tujidanganye na kudanganya wengine.

Tazama huyu ndie Pasco Mkongwe kajificha ktk ujinga miaka yote,sasa hivi ktk ukangaroo anataka stage ya kutokea.Miaka yote kabebwa mpaka waliombeba wamezeeka hatembei tuu.
 
Back
Top Bottom