Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Wakati ule alimjibu Pascal Mayalla kuwa ni njaa, sasa EU na US wameuliza hayohayo basi afanye kama anajikuna hivi! Ajifanye anajikuna na kuwajibu hovyo aone kazi!
 
Kiualisia swali la bwana mayalla halina majibu maaaana ndani ya katiba hakuna sehdmu inayompah ayo mamlaka ndo maaana majibu yalikua yakujikanyagakanyaga tu, ila tu katiba hiii tulio nayo ndo unasababisha anakuah na maamuzi ambayo ukihojiii atakimbia ye ndo head of state nani anatoah helaaa Mara nan anawachagua majajiii wakuuuu na vitu kama ivyo
 
Back
Top Bottom