Nice words..Sasa lile swali la tido angejibiwaje, Rais hakuwahi kuzungumzia sio tu kwenye Kampeni bali hata baadhi ya hotuba zake, Kitendo cha Tido kumlisha maneno ilikuwa sio sahihi
... kabisa mkuuDah nimejisikia vibaya sana Tido alivojibiwa vibaya na no. 1
Well said...Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Ukienda mbele ukirudi nyuma, raisi ni mwajiriwa wa wananchi kama ilivyo kwa wabunge. Wote wamechaguliwa na wananchi. Wananchi ndio walipa kodi na ndio wenye fedha.Serikali kazi yao ni kukusanya fedha kwa niaba ya wananchi. Wenye mamlaka na fedha ni wananchi, ambapo wananchi kwa ujumla wao wanawakilishwa na bunge. Kwa hiyo raisi hawezi kuzuia wawakilishi wetu kutimiza majukumu yao.Raisi anatakiwa kuangalia katiba ya JMT inasemaje kuhusu mamlaka yake, na afuate hapo.Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.