Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Ifikie muda tupeane updates hata kwa summary tu haiwezekan mtu anaanzisha thread as if watu wote hapa jf walikuwa online muda huo kufuatilia kuhusu mahojiano hayo,wengine ni waalimu humu wako kwenye mitihani ya 4m 4 na wengine hawakubahatika kupitia hiyo dialogue hebu ni vema ungetuhabarisha kuwa pasco aliuliza hivi na sammy aliulizia hivi sio kutuandikia eti nani kakufurahisha kati ya w/habari,‘eboooo!!!
 
Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?

Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?

Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Well said...
 
Mzee mmoja mtaan hapa nae amemsifu pascal mayala kuwa ndiye mtu aliyeuliza swali la msingi bila woga
 
Nimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?

Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?

Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Ukienda mbele ukirudi nyuma, raisi ni mwajiriwa wa wananchi kama ilivyo kwa wabunge. Wote wamechaguliwa na wananchi. Wananchi ndio walipa kodi na ndio wenye fedha.Serikali kazi yao ni kukusanya fedha kwa niaba ya wananchi. Wenye mamlaka na fedha ni wananchi, ambapo wananchi kwa ujumla wao wanawakilishwa na bunge. Kwa hiyo raisi hawezi kuzuia wawakilishi wetu kutimiza majukumu yao.Raisi anatakiwa kuangalia katiba ya JMT inasemaje kuhusu mamlaka yake, na afuate hapo.
 
1. Nanukuu: "Sikuja kufukua Makaburi, bali kuanzia nilipoikuta nchi na kuipeleka mbele".
Mwisho wa Kunukuu
Nadhani wale mliokuwa mnaropoka Kama Lowassa ni fisadi apelekwe Mahakamani mmejibiwa. Muhimu ni kutokubali Watu wa aina ya LOWASSA kutopewa nafasi tena nchi hii , matendo yao sasa yanatosha. Tumuunge mkono rais wetu.
2. Nanukuu: " Mifuko ya jamii na Mabenki imefilisika lakini wakopaji wakubwa ni wanasiasa, UKAWA wamo, CCM wamo , lakini utakuta wao ndiyo wapiga kelele na waongeaji wakubwa sana" mwisho wa kunukuu.

Kwa ujumla kama vyombo vya habari kesho havitakuja na headline kuhusiana na mambo haya mawili ujue hatuna wana habari. Mabenki kuwa na hali mbaya na hata kupelekea mengine kuwa chini ya uangalizi wa BOT ni mambo ambayo yamekuwa ni viashiria vya hali mbaya uchumi na ndiyo habari ya mjini hivi sasa, lakini kumbe wale wanaopiga kelele kuilaumu serikali ndiyo hao hao wanaopelekea hali hiyo. Hii ni hatari sana.
Ni tabia ya kutanguliza maslahi binafsi ndiyo iliyotufikisha hapa. Kutoshughulika na Watu waliohusika kuihujumu uchumi wa nchi yetu huko nyuma isiwe sababu ya kuamini kwamba hao watu hawakulihujumu taifa. Jambo la muhimu ni kutowapa nafasi tena watu wa aina hiyo katika taifa hili. Tumuunge mkono rais ili altujengee taifa lenye watu wa kutanguliza uzalendo mbele badala ya maslahi yao binafsi. Kwa kifupi tuseme tunataka taifa jipya na tusema SASA BASI kwa wale waliolihujumu taifa.
NAMUUNGA MKONO RAIS JPM .
 
Inasikitisha kuwa wengi walipoteza muda mwingi kama vile kumweleza Mh. Raisi majambo na kiswali kikawa kidunchu...

Kwangu mimi ni kama walitaka tujue wanayajua au wanamwambia udipindishe tunajua

Mngeuliza maswali...ya viwanda hadi yaliboa bila hata mkoja kugusia umeme kwa undani, only alipoiongelea Raisi mwenyewe.

Haya mnaolalamika uwanja ni wenu
 
Pasco hongera zako za dhati ni mwandishi wa kujitegemea lakini pale ndani wewe peke yako umeibuka kidedea umejitenga na waandishi wa kusifu na kuabudu wa kusubiri pilau hawaitaki kweli na wasubiri hilo rungu la muswada wa habari.Maswali yako ya separation of power na kuminya demokrasia ya vyama vingi yalikuwa magumu lakini yakapata majibu mepesi kutoka kwa mweshimiwa kama serikali ndio inayotafuta hela basi hakuna maana tena ya bajeti kujadiliwa wakae ikulu na baraza lake la mawaziri wagawane hizo hela walizotafuta.Haya ndiyo matatizo ya kutojua sheria au kupata ushauri potofu.hilo la vyama vingi ndio kabisaaa wala hakugusa aliishia tu vijembe''Manyala kwetu ni njaa'' inahusu???
 
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.

Kwanza kaanza kwa kuitaji JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.


Haya majibu ya muheshimiwa hayakidhi kabisa...maana swali linamuuliza amepata wapi nguvu ya kuingilia mihili mingine wakati katiba haimruhusu? pili ameshindwa kujibu swali la kukataza vyama vya siasa kufanya mikutano
 
Back
Top Bottom