Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Ngoja tumalize kuweka data vizuri!! Watanzania watamjua Paskali ni nani. Huyu ni Mr. NJAA Kama maana ya Jina lake ktk lugha ya kisukuma. Na NJAA NI LAAANAAA!!

Queen Esther
Mama unatoka kwenye familia ya kifalme au ni ulimbukeni tu kujiita queen?
 
 
Ivi kuna nafasi ya DC ambao bado haujakamilika?
Paschal mayala ni Moja ya great thinkers wakubwa sana na siyo type ya akili yako hyo ya kushikiwa
 
VIHIYO utawafahamu kwa kauli na matendo yao..ona sasa hiki nacho ni miongon mwa VIHIYO..
1:wew ni msemaji/mrekebishaji wa majibu ya jpm?
2:wewe ni mwongozaji wa jinsi ya kuuliza maswal mbele ya jpm?
3:swali la PM,ww limekukera vip had kuja nalo hapa?
 
Kwa pesa alizopewa afanye anayofanya??? No plz!!! Uandishi wa habari una miiko yake!!

Queen Esther

Upo buy leo kumuharibia kama vile na wewe ulipitiwa nae kiaina ukatemwa au unatamani kuwa alivyo.

Oops nilitaka kusahau, weka proof ya madai yako.
 
Acha kushikiwa akili juha wee
 
Kweli kwahiyo Queen na wewe ni mhariri wa habari au unatania tu.. Kwahiyo kama rais ni ni PGM wa majaji na bunge inamanisha vyote viko chini yake... Basi majaji hawawezi kkutoa haki kama wanafanyakazi chini ya kumfuata mtu na sio kanuni ila tumshauri tu somo la katiba lipo ata form two civics
 
nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria...

nahisi kwa kuwa kichwa kimejaa hewa,basi hata swali hukulielewa bali lilipita hewa...

sidhani kama unafahamu hata maana ya QUEEN ESTHER..bali nahisi maana ya neno hilo umekariri tu pasipo kujua maana yake
 
Jamani muacheni huyu mama ina maana mlio humu hamjui cv/proffesional ya UDC na URC [emoji28] na sasa umeongezeka na URAS na UDAS na UDED na kadhalika na kadhalika[emoji87]
 
Lile lilikuwa swali zuri. We mwenyewe si unaona unavyohangaika hapa JF kushawishi wajumbe walione lilikuwa swali jepesi lakini ukweli utabakia kuwa ukweli pasco aliuliza swali zito.

Siku nyingine unapo shindwa kuwashawishi watu jaribu kuwachanganya. Labda uje na details nyingine kumuhusu pasco lakini swali lilikuwa poa
 
1. Kwani wewe ndiyo nani?
2. Wewe uliuliza swali lipi au lile la hobbies za Rais?
3. Paskal Mayala simkubali tangu arushe kipindi cha kupika cha Tume ya uchaguzi kwenye maadhimisho ya nane, lakini swali la jana lilitulia.
4. Yeye kujitambulisha mwana JF isikuume, tafuta gia nyingine, hapa umeleta kichefuchefu.
 
Huwa nasikia humu kuna sheria ya ban.
 
Mimi ni Queen Esther mwenyewe na wewe ni HAMANI. Mti uliouandaa watundikwe wenzako utatundikwa wewe ili NENO litimie.

Queen Esther

nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria...

nahisi kwa kuwa kichwa kimejaa hewa,basi hata swali hukulielewa bali lilipita hewa...

sidhani kama unafahamu hata maana ya QUEEN ESTHER..bali nahisi maana ya neno hilo umekariri tu pasipo kujua maana yake
 
Huwezi kuwa na separation of power kwa katiba hii!!! Bado nasisitiza Njaa itamuua Paskali.

Aidha TUNAMUONYA aache KUDHARAU wahariri, ATUOMBE MSAMAHA KABLA HATUJAANIKA MADUDU YAKE!! Amemwaga ugali tunamwaga mboga!!

Queen Esther
Est-ce une vendetta personnelle?
 
Tatizo watu hamtaki kuwa Ma Great Thinker!!

Kuwa na CHICKEN VISION ni tatizo kubwa sana TZ!

Queen Esther

 
Dada esther nadhani usikuu wa leo shemeji ameshindwa kutimiza majukumu yake ya kinyumba vizuri ndio maana hata akili zimeruka ukaja na hili gazeti lililojaa mihemko, chuki na kujipendekeza.

 
Weka HOJA acha VIROJA!! We ni GT bwanaaaa!!!

Queen Esther

Dada esther nadhani usikuu wa leo shemeji ameshindwa kutimiza majukumu yake ya kinyumba vizuri ndio maana hata akili zimeruka ukaja na hili gazeti lililojaa mihemko, chuki na kujipendekeza.
 
Kimtokacho mtu ni kile kilichoujaa moyo wake!! Poor you!

Queen Esther

Upo buy leo kumuharibia kama vile na wewe ulipitiwa nae kiaina ukatemwa au unatamani kuwa alivyo.

Oops nilitaka kusahau, weka proof ya madai yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…