Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Sasa akimtukana rais kikwete NDO ASIULIZE SWALI KWA JPM?

Mijitu MINGINE BWANA...........SHIDA TUPU
 
Support ya wana jamii forum wenzake imemfanya mayalla aonekane man of the match
 
Support ya wana jamii forum wenzake imemfanya mayalla aonekane man of the match
Unease momentarily baada ya kutupa jiwe, we are the people ,feel free walk tall,walk proud, we are the people.
 
KITENDO CHA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII, MABAA NA TV KUWA YEYE TU NDIO AMEULIZA SWALI ZURI KULIKO WAHARIRI WOTE WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI NI KASHFA KUBWA KWA TASNIA YA HABARI NA JAMII YOTE!!

Queen Esther

Kwa hiyo ni katiba mbovu na ndo maana wengine wanaishabikia? Lakini swali lilikuwa valid kwa mtu anaelewa concept ya separtion of powers.
Sioni kwa nini aombe radhi?
 
Jamani mwe mnaona basi aibu kuanika ujinga wenu hadharani...au kwa kuwa kiongozi kajianika basi na wafuasi wake mnaona ni sawa kujianika,loh!
 
https://www.jamiiforums.com/attachments/282308/

Hiyo ni Ilani ya CCM 2015 uniambie wapi wamesema wataleta katiba mpya??

Queen Esther

 
Sasa ndio umeandika nini Great Thinker!!

Queen Esther

Jamani mwe mnaona basi aibu kuanika ujinga wenu hadharani...au kwa kuwa kiongozi kajianika basi na wafuasi wake mnaona ni sawa kujianika,loh!
 
Utetezi wako kamwe hautoondoa kile ambacho wengi wanakiamini kuwa mayala ndiyo aliuliza swali zuri kumbuka wengine walikuwa wanarudia rudia maswali yale yale mpaka wanaonekana hawajielewi kabsa.
 
Rais angekuwa white hair angemuheshimu maana ndio anampa BAHASHA kila kukicha!! Kwa Yule hata Nguo za ndani angemfulia. Chezea NJAAAA!

Queen Esther

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…