Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Ulianza vizuri lakini umekuja kuharibu sababu ya njaa, kwa hiyo tunachagua mtu sababu ya jinsia yake na siyo uwezo wake?
 
Huyu alikuwa Paschal Mayalla na siyo huyu Paschal Njaa
Bahati nzuri mimi namjua kiasi fulani maana tunafahamiana nje ya JF. Kuna Pascal Mayala wawili, kuna Pascal wa kwanza ni yule ambaye utampata ukizungumza naye ana kwa ana huku anajua sisitimu na wewe hamna uswahiba wowote na huyu ndiye yule tulikuwa tunampata katika maandiko yake 2016 kwenda nyuma.
Yupo wa pili ndio huyu ambaye aliamua kwenda Kawe na maandishi yake au mahojiano akiyajua kuwa yako public basi anaangukia kuwa huyu Pascal wa pili.
Ila out of JF ni mtu poa sana
 
Tatizo la wasomi wengi ni kukosa uzalendo
 
Paschal Mayala,wewe ni mtu wa idara ya usalama wa Taifa na ccm wamekupandikiza kwa makusudi humu mitandaoni kwaajili ya kuvuruga movements za Watanzania za kuing'oa ccm na kudai katiba mpya
Mkuu monde arabe, du...!.
Naheshimu freedom of thinking and freedom of expression yako,
Hivyo inawezekana hata siku ile pale Ikulu ni Idara ndiyo ilinituma kumuuliza swali hili Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli bosi wangu?.

Na katika kuisafisha Idara, huyu ni ofisa wa Idara amekuja humu kuisaidia kuisafisha idara TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Na ili kulisafisha Bunge letu, itakuwa ofisa kipenyo huyu alishauriwa kuandika kuhusu Bunge kujipendekeza kwa serukali kisha ikamtuma dodoma Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge

Na kulipotokea tishio la usalama kwa taifa letu, afisa kipenyo huyu ali copy and paste ripoti ya ofisini na kuimwaga humu jf Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

Then kiukweli tutakuwa na TISS ya ajabu sana!.
Kama kila watoto wanaozaliwa na wazazi wote baba na mama ambao ni Tiss na watoto wao ni Tiss then TISS itakuwa na watu wengi sana!, sisi tumezaliwa 8!.
P
 
Hana ubora wowote.

Tangu alipopigwa mkwala na utawala dhalimu wa Magufuli.

Mbona hakutoka front wakati huo kudai hii haki muhimu wakati ule wa kutawaliwa gizani?
Mkuu Mazagazaga, jee unamjua aliyezungumzwa hapa ni nani?. Iangalie tuu ni tarehe ngapi?.
P
 
Tunahitaji waandishi wa habari kama Pascal Mayalla wa enzi hiyo.
 
Paschal Nayala Katika Ubora Wako... Tunatamani Mama Na Yeye Afanye Press Za Hivi
Paschal Mayala Katika Unora Wako Enzi Hizo. NA huu Uwe Utamaduni Kwa Marais wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…