Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha tatizo nyota binamu.....[emoji3] [emoji3] wenye bahati zao
Hebu nitumie kwanza kampesa ili niweze kukutafuta.......lolHaja ka' besideigelo nako sio,
Nakapigia hakapatikani.
Ambae anako Jirani akafahamishe ninayo zawadi nono maalum.
Besidei gelo hajui kizungu kabisa so naomba ueditipo ili nieleweNever myth
Thanks so much my diaHappy birthday Faith, M/Mungu akupe miaka mingi zaidi yenye kheri
Na mimi nataka![emoji1]I love you kiwatengu, from the bottom to the top of my heart.
Sijawahi kutambulishwa kama na wewe ni shem wanguIna maana hutaki kunisikiliza mimi shem wako???
Thanks so much binamu yanguhappybday binamuu
Nipo tu home nimekaa nilitaka nikaswim ila hali ya hewa si nzuriMtoko wapi Leo?
Thanks so much my diaHappy birthday Miss
Usiogope mwaya wala huna haja ya kunikana kwani yale mambo ya hainaga ushemeji huwa tunakulaga mimi wala sina!!!......Sijawahi kutambulishwa kama na wewe ni shem wangu
Dar kamvua kanatishia tishia kweli, tukijiorganize watu hata wa 5 we can have a glass wine for cheers your b'day Fei.Nipo tu home nimekaa nilitaka nikaswim ila hali ya hewa si nzuri