Hongera sana Precious Honey Faith

Hongera sana Precious Honey Faith

Braza umeiona hiyo I love you yangu hapo juu? Toka kwa Sky Eclat hujapata kawivu hata kidogo?
For your future reference this is more me

1053284_1.jpg
 
Nipo tu home nimekaa nilitaka nikaswim ila hali ya hewa si nzuri
Dar kamvua kanatishia tishia kweli, tukijiorganize watu hata wa 5 we can have a glass wine for cheers your b'day Fei.
[emoji137]Mi wa kwanza kwenye list ya mtoko[emoji121]
 
Back
Top Bottom