mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Nawasalimu kwa Jina la JMT!
Nimeona niandike machache kupongeza kuhusu hawa Wateule wa Wizara hii yenye kubeba masuala ya Utumishi.
Toka wameingia kwenye hii Wizara hawa Waheshimiwa kuna mabadiliko mengi tumeyaona. Kuanzia kiutendaji hata malalamiko ya watumishi yamepungua.
Hongereni sana Waheshimiwa Kwa Kuendelea Kufanya vizuri kazi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hakika hamjamuangusha mpaka Sasa. Endeleeni na Ari hiyo hiyo ya Juu kwenye Utendaji kazi wenu.
Hata watumishi waliopo humu ndani na vijana wengine wanaotarajia kuingia Serikalini watakubaliana nami ya kuwa Hawa Viongozi wanafanya vizuri sana.