Mmesahau mikia ndo mlitupa ngao ya jamii? Hao Nyau B aka mbumbumbu ndo wametupa ubingwa wa NBC, na ASFC msijisahulishe, Nyau nyieLeo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.
Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.
Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.
Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana makolo kwa kupata ubingwa mpole cup na sopu cup hakika mmeupiga mwingi msimu huu
Alex kitenge mchezaji wa stand united aliwahi kuifunga yanga hatrick kwenye mchezo wa ligi kuu mwaka 2018. Mchezo huo uliisha kwa yanga 4 stand 3Utopolo inaongoza kwa kupigwa hat trick ktk historia ya soka la TZ View attachment 2279466
Hat trick fc wamechukua ubingwa ila hawana rahaAlex kitenge mchezaji wa stand united aliwahi kuifunga yanga hatrick kwenye mchezo wa ligi kuu mwaka 2018. Mchezo huo uliisha kwa yanga 4 stand 3
Ona hili kolo nalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hatuna raha! Yaani ubebe ubingwa alafu usiwe na raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hat trick fc wamechukua ubingwa ila hawana raha
Mwenye historia ni YANGA FC ambaye hajafungwa katika ligi ya kombe lolote na kashanyakua makombe ma3, poleni sana MAKOLO kwa maumivu mnayopitia [emoji1]Ameshajiweka kwenye historia ya mpira wa nchi yetu.
Mlianza kushangilia kiatu cha Mpole, na sasa mmehamia kwa Sopu..!!! Yaani utadhani nyie hamna timu vile..!! Mnahamahama sanaLeo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.
Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.
Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.
Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Huyo mpiga vichwa , kichwa chake cha kupimwa..!! Yaani mtu uchukue kombe halafu ukose furaha..!!! Wa ajabu sa huyu kolo..!! Yaani utadhani yale mashindano yalikuwa ya kugombea hat trick, au na yale mengine yalikuwa ya kutwaa kiatuOna hili kolo nalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hatuna raha! Yaani ubebe ubingwa alafu usiwe na raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamebanduliwa vya hatariMakolo wanavyoifuatilia Yanga kiasi kwamba hata hawajui matokeo ya timu lao match 2 za mwisho ligi
Mmeacha kuhesabu makombe sasaUtopolo inaongoza kwa kupigwa hat trick ktk historia ya soka la TZ View attachment 2279466
Hawajui sababu wameacha kuifutilia timu yao wanaifutilia Yanga na mayeleWamebanduliwa vya hatari
[emoji13]Huyo mpiga vichwa , kichwa chake cha kupimwa..!! Yaani mtu uchukue kombe halafu ukose furaha..!!! Wa ajabu sa huyu kolo..!! Yaani utadhani yale mashindano yalikuwa ya kugombea hat trick, au na yale mengine yalikuwa ya kutwaa kiatu