Hongera sana SOPU

Hongera sana SOPU

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.

Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.

Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.

Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
 
Utopolo inaongoza kwa kupigwa hat trick ktk historia ya soka la TZ
IMG-20220702-WA0020.jpg
 
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.

Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.

Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.

Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Mmesahau mikia ndo mlitupa ngao ya jamii? Hao Nyau B aka mbumbumbu ndo wametupa ubingwa wa NBC, na ASFC msijisahulishe, Nyau nyie
 
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.

Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.

Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.

Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.
Mlianza kushangilia kiatu cha Mpole, na sasa mmehamia kwa Sopu..!!! Yaani utadhani nyie hamna timu vile..!! Mnahamahama sana
 
Ona hili kolo nalo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hatuna raha! Yaani ubebe ubingwa alafu usiwe na raha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mpiga vichwa , kichwa chake cha kupimwa..!! Yaani mtu uchukue kombe halafu ukose furaha..!!! Wa ajabu sa huyu kolo..!! Yaani utadhani yale mashindano yalikuwa ya kugombea hat trick, au na yale mengine yalikuwa ya kutwaa kiatu
 
Back
Top Bottom