denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Leo utopolo wamekuingiza kwenye vitabu vya kumbukumbu, jina lako litaendelea kutajwa kama miongoni mwa wachezaji waliowahi kuwafunga Yanga SC hat trick.
Tena, hat trick yako ni nzito zaidi kwa sababu umewafunga kwenye mechi ya fainali ya kombe la ASFC.
Hongera sana kwa kuonesha Tanzania tuna watu wenye uwezo wa kupiga kazi zaidi ya Mayele aliyepata support ya kila aina toka kwa wachezaji wenzake, na kelele za mashabiki wake.
Kwa kazi aliyoifanya SOPU leo, amethibitisha hata G. Mpole kubeba kiatu cha dhahabu ni uwezo, sio bahati, Tanzania tunaanza kupata washambuliaji hatari tena.