periodic table
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 207
- 510
Nani kakuambia mziki ni dhambi ?Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya..
Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab..
Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..
We are the one,we are the children..
Kwa mujibu wa maneno yao wenyewe hao wanamuziki wawili, imani yao inauchukulia muziki kuwa ni dhambi. Si vyema kupinga imani ya mwenzako, ila unaweza kupinga imani yakoNani kakuambia mziki ni dhambi ?
Wapo waloweza kama vile Kat steven, Loon wa BadboysKwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya..
Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab..
Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..
We are the one,we are the children..
Bado mapema kivipi sasa?Mzee mbona bado mapema kumpongeza sumalee...vp mwakan nayeye akirud Utakuja kufuta uzi au? Na mwisho wa yote Mungu mwenyew ndio anajua ukwel...unayajua yote ya sumalee?
Hivi mbona mimi navipenda sanaaMzee Yusuph amechoka kushindia vitumbua.