Hongera sana Suma Lee, Mzee Yusuph ameshindwa

Hongera sana Suma Lee, Mzee Yusuph ameshindwa

periodic table

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2019
Posts
207
Reaction score
510
Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya.

Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab.

Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..

We are the one,we are the children.
 
Mzee mbona bado mapema kumpongeza sumalee...vp mwakan nayeye akirud Utakuja kufuta uzi au? Na mwisho wa yote Mungu mwenyew ndio anajua ukwel...unayajua yote ya sumalee?
 
Ushazoea mambo mazuri.... Ah lazima urudishe Mpira kwa kipa

Ova
 
Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya..

Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab..

Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..

We are the one,we are the children..
Nani kakuambia mziki ni dhambi ?
 
Sijaelewa, kwamba Suma Lee kaamua kujisalimisha kwa Bwana Yesu, ? Au ...

JESUS IS LORD!
 
Nani kakuambia mziki ni dhambi ?
Kwa mujibu wa maneno yao wenyewe hao wanamuziki wawili, imani yao inauchukulia muziki kuwa ni dhambi. Si vyema kupinga imani ya mwenzako, ila unaweza kupinga imani yako
 
Kwa hatua uliyokuwa umefikia kwa kipaji chako cha mziki..hakika haikua kazi nyepesi kupambana na nafsi yako na kuacha kabisaa mziki wa dunia na kumrudia Muumba wako na kukubali kuanza upya katika maisha mapya..

Pole Mzee Yusuph kwa kushindwa kupambana na nafsi yako na kuamua kurudi tena kwenye mziki wa taarab..

Kubadilisha staili ya maisha ya kidunia ni kazi sana hadi ujizatiti na kufumbia macho kila kitu..

We are the one,we are the children..
Wapo waloweza kama vile Kat steven, Loon wa Badboys
 
Kama aliweza mgumu NAPOLEON wa outlawz
. Huyu Yusuph wa mkunazini anashindwaje?
unnamed.jpg
images (46).jpeg
wlpmw-TMWTFA5TSX5-Full-Image_GalleryBackground-en-US-1582784865823._RI_.jpg
images (47).jpeg
images (45).jpeg
 
Mzee mbona bado mapema kumpongeza sumalee...vp mwakan nayeye akirud Utakuja kufuta uzi au? Na mwisho wa yote Mungu mwenyew ndio anajua ukwel...unayajua yote ya sumalee?
Bado mapema kivipi sasa?

Kwa hatua hii aliyofikia anahitaji pongezi ajarudi bado na hata mwakana hauna uwakika kama atarudi au laah
 
Suma lee ana miaka ngapi toka aache bongo fleva
 
Je angekula nini huko? Na kuimba taarab ndo kazi yake?
 
Back
Top Bottom