Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Kukutaarifu tu TAMISEMI wanafanya uchunguz juu ya upotevu wa zaidi ya mil 200 juzi Jafo amesema.

Na leo vichwa vya treni vimekutwa huko vinesukumwa nje ya bahar havijulikani vya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kweli vimekosa wenyewe?

Zile gari zilizokuwa ndani ya kontena nazo zilipata wenyewe?

Maana ni kama matango pori yanazidi sasa
 
Gwajima Kakimbia Vichwa Vyake vya Train huko Bandarini TISS hatari siku hizi.
Kazi ya Tiss ni pamoja na kulinda usalama wa uchumi singa singa na rugemalila Tiss wamewadaka na ubilionea wao. Hongera TISS
 
Walinzi wa Raisi hutoka TISS. Ingawa kuna kitengo mahususi kwa ajili ya kuwapika wahusika. Watu wa Usalama Ndo hulinda viongozi wakubwa nchi karibu nyingi duniani kama NSA inavyomlinda Trump. Sasa jinsi TISS inavyowapata na kuwafunda Hao wahusika inajua yenyewe. Wataalamu wa usalama wataeleza.
 
.......Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sabasaba ulitisha.......

Tafsiri yake moja tu,kuwa amani ya nchi hakuna kama zamani,hata enzi za vita vya Kagera Mwlm Nyerere hakuwa na ulinzi huo kama tuko Somali Land ama Kabul,achilia mbali enzi za Mkapa,Mwinyi na Kikwete!!

............Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo........

Tulihubiriwa sana kuwa uvunaji wa gesi Mtwara ndio suluhu ya umeme wa uhakika,tutauza mpaka nje!!! Leo tunahangaika Uganda na Ethiopia kupata UMEME!!!
Maamuzi magumu ni uadui mkumbwa
 
TISS mnafanya kazi nzuri sana.Kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo anajua hilo. You are doing a wonderful job for our great nation. Mnasitahili sifa zote. Mungu awabariki sana.

Nchi sasa iko barabarani. Mambo ya msingi yote yanaenda vizuri. Mpango wa kujenga bwawa la umeme huko Rufiji ndo habari ya mjini. Megawat 2100 siyo mchezo. Ulinzi wa Raisi wa jana kuingia viwanja vya sababu ulitisha.

Hatujawahiona uwezo wa TISS wa hali ya juu wa kumlinda Commander in Chief of the Armed forces kama ule. TISS you are good in all terms.Keep it up. We love you, we respect you. Songeni mbele kwa mwendo huo. Tutafika.

I am proud of our TISS.
Analindwa na TISS au wanajeshi au Polisi? Hao TISS si mashati tu
 
Sijui unaongea nini hapa kwenye hii post!!
 
Hivi ni kweli vimekosa wenyewe?

Zile gari zilizokuwa ndani ya kontena nazo zilipata wenyewe?

Maana ni kama matango pori yanazidi sasa
Hilo swali nimejiuliza,nimebak kuipuuza hiyo stori tu maana najua ni uzushi
 
Kazi ya Tiss ni pamoja na kulinda usalama wa uchumi singa singa na rugemalila Tiss wamewadaka na ubilionea wao. Hongera TISS
Kwani wameanza kuiba leo?Au ineundwa mwaka huu?
 
Hivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?

Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....

But what do I know....
Mtoa post anaweweseka usingizi wa mchana labda.
 
Gwajima Kakimbia Vichwa Vyake vya Train huko Bandarini TISS hatari siku hizi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuh naona umeunganisha dot kaka, lakini inawezekana ikawa hvo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Siyo kweli. Mimi siyo mgambo wa jiji. Mimi ni mzalendo. Fani yangu ni LAW. Sipo biased.Nausema ukweli kama ulivyo. TISS wanafanya kazi yao vizuri na kwa weledi mkubwa.Give each one his due.
Basi hao TISS tuwapeleke key-beat
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuwa binadamu ni kuwa na akili. Hayo mengine maarifa.

Nikitaka kuwa rais wataniua siku nitakayoanza kampeni.

Sitaki kufa kama Bobby Kennedy.


Mifumo yetu sasa hairuhusu wenye maarifa sana kuwa rais.

Wnchujwa wanaachwa chini.

Kwa sababu hawafai kwa status quo.

Ndiyo maananunaona watu kama Magufuli na Kikwete wanakuwa rais.
Watu kama akina Mwandosya wanapuuzwa mpaka kuzeeka kwao.
 
Walinzi wa Raisi hutoka TISS. Ingawa kuna kitengo mahususi kwa ajili ya kuwapika wahusika. Watu wa Usalama Ndo hulinda viongozi wakubwa nchi karibu nyingi duniani kama NSA inavyomlinda Trump. Sasa jinsi TISS inavyowapata na kuwafunda Hao wahusika inajua yenyewe. Wataalamu wa usalama wataeleza.
Tangu lini NSA ikamlinda Trump? Au Trump wa Miembeni, Zanzibar.
 
Huwezi kushughulikia maslahi ya taifa ipasavyo halafu ukaachwa salama,acha ajilinde.
Lema aliota raisi atakufa akafungwa nahisi magufuli anajilinda na ndoto ya lema hapo hata risasi hazijalia " mr pombe ni muoga kupitiliza......
 
Back
Top Bottom