Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni ACT Wazalendo kwa nini unawashwa sana na Mambo ya Chadema tena kueneza chuki,huyu Lissu alikukosea nini? Uwe na kiasi.Kwa matusi nyinyi. Mumemtukana mzee wenu mbowe kisa madaraka ya chama tu. Haya mushapata tuone kama mtaambulia hata mbunge 1
Eleza hapa walimtukana matusi gani? Kumkosoa mtu siyo kumtukana au huko kwenu Unguja kukosoa ni matusi? Una ujinga mwingi sana. Ulikesha humu kumsema vibaya Lissu na kujiapiza kuwa hawezi kuchaguliwa matokeo yake ukavuna aibu leo hii Lissu ni Mwenyekiti.Lisuu na lema wao walikuwa front kumtukana na kumdhalilisha Mbowe live. Mwenyewe akilalaka sana ktk media. Tuone sasa kama mtawaingiza watz barabarani wakakubali
Kamuulize mumeoMaandamano lini?
Chuki mumeeneza wenyewe. Lema alikuwa front kumtukana mbowe tena kwenye media. Record zipo. Lissu kamwita mbowe mlamba asali na mla rushwa. Record zipoWewe ni ACT Wazalendo kwa nini unawashwa sana na Mambo ya Chadema tena kueneza chuki,huyu Lissu alikukosea nini? Uwe na kiasi.
Lissu mwenyekiti kwa kura 500 za kumtukana Mbowe?Eleza hapa walimtukana matusi gani? Kumkosoa mtu siyo kumtukana au huko kwenu Unguja kukosoa ni matusi? Una ujinga mwingi sana. Ulikesha humu kumsema vibaya Lissu na kujiapiza kuwa hawezi kuchaguliwa matokeo yake ukavuna aibu leo hii Lissu ni Mwenyekiti.
Asiyetaka ajitoe???? Njia nzuri ya kumshambulia kama mbowe atatoka mwenyeweMove on, watu wanatengeneza KPI's Chama kitajengwa na akina Lissu na wanachama wote na Mbowe kama mstaafu. Asiyetaka ajitoe.
Nami nimerudi baada ya ban la kumuunga mkono Malaria 2!Wewe jamaa umetokaje kifungoni na uliomba life ban? Mods hamfanyi fair
Hayo matusi uliyasikia wewe tu. Chuki yako kwa Lissu itakuletea magonjwa yasiyotibika.Lissu mwenyekiti kwa kura 500 za kumtukana Mbowe?
Tuondolee ushetani wako wa kiunguja hapa.Chuki mumeeneza wenyewe. Lema alikuwa front kumtukana mbowe tena kwenye media. Record zipo. Lissu kamwita mbowe mlamba asali na mla rushwa. Record zipo
Utu ndio kila kitu.Ndio mbinu yenu hio? Mlikuwa hamjui kama kuna maisha baada ya uchaguzi?
Dah. Mbowe aliojenga chama anatukwanwa na akina mremaTuondolee ushetani wako wa kiunguja hapa.
Uliweka kambi hapa na mpuuzi mwenzako Lucas Mwashambwa kutengeneza fitna lakini hazikuzaa matunda sasa zitazaa matunda sasa? Uchaguzi umekwisha na mlilotaka halikuwa Mbiwe mwenyewe amekubali yaishe,unaendelea kujidhalilisha tu.Dah. Mbowe aliojenga chama anatukwanwa na akina mrema