Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri akuna timu yoyote inayoweza kupaki basi dk 90 zote mbele ya yanga na ikahimili mashambulizi ya yanga kwa muda wote zaidi ya Tanzania prisons, Leo wamepaki basi lao na almanusura waokote alama kwa mkapa, Pongezi nyingi kwa timu ya wananchi kuondoka na alama 3 muhimu licha ya upinzani mkali toka kwa prisons ambayo ilikuwa inacheza na wachezaji karibia 9 nyuma ya mpira,
N;B Wale wanaokaa kileleni kama status za whatsap tunawakumbusha ya kuwa safari ya unbeaten nyingine ndio imeanza rasmi
Shabiki lia liaNdio nini?
Mimi nilikuwa nasikia harufu za unga unga fulani hivi kutoka kwa watu waliokuwa na jezi nyekundu uku mate yakiwatoka ovyo ovyo sikuelewa kwa haraka mpaka Fei toto alipofunga goli na wao wakapotea kama mzimu na kutokomea kusikojulikanaHadi dakika ya 85 kwenye vibandahumiza kulikuwa na harufu kali Sana za vinyesi . Sijui tatizo lilikuwa ni nini!! Chanzo bado hakijajukikana.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ulikua kwenye banda la mateja wenzako wala ungaHadi dakika ya 85 kwenye vibandahumiza kulikuwa na harufu kali Sana za vinyesi . Sijui tatizo lilikuwa ni nini!! Chanzo bado hakijajukikana.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa kawaida mchanganyiko wa matunguli na madawa ya kulevya huleta hiyo harufu.Hadi dakika ya 85 kwenye vibandahumiza kulikuwa na harufu kali Sana za vinyesi . Sijui tatizo lilikuwa ni nini!! Chanzo bado hakijajukikana.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app