Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama chetu hatuhutaji mwana harakatiNimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali aliyoulizwa kwa kujibu maswali yote kwa ufasaha. Naona upepo umebadilika licha ya kupigwa vita Wakili Mwabukusi. Wanachama wa TLS huu ndiyo wakati wa kutoa uamuzi wa kumchagua mtu ambaye ana msimamo na haogopi.
Unakumbuka uchaguzi wa TLS, LISSU na SERIKALI? nini ilikuwa matokeo?Sijui kama watampa, system itapambana ashindwe....sijui uchaguzi unafanyikaje na mfumo ni upi ila bado fitina inaweza kuwa kubwa sana maana yeye directly anaonekana yuko kinyume kabisa na serikali,ile maana ya serikali ina mkono mrefu inaweza kutumika uchaguzi huu
Wacha mwananchi wangu ashinde uchaguzi mambo ya vyama tuweke pembeni hayo hayana tija kwenye maendeleo ya nchiSijui kama watampa, system itapambana ashindwe....sijui uchaguzi unafanyikaje na mfumo ni upi ila bado fitina inaweza kuwa kubwa sana maana yeye directly anaonekana yuko kinyume kabisa na serikali,ile maana ya serikali ina mkono mrefu inaweza kutumika uchaguzi huu
na ukishakuwa ccm basi na akili unakabidhi unabaki na kopo reference: profesa jalalaniKwa takwimu za sasa Mawakili Wengi ni CCM 😀