Hongera sana wakili msomi Mwabukusi

Wakili Msomi emerged to be No.1 among all contestants. Hongera sana Wakili Mwabukusi.
 
Chama chetu hatuhutaji mwana harakati
 
Unakumbuka uchaguzi wa TLS, LISSU na SERIKALI? nini ilikuwa matokeo?
 
W
Wacha mwananchi wangu ashinde uchaguzi mambo ya vyama tuweke pembeni hayo hayana tija kwenye maendeleo ya nchi
 
Baada ya kumpa ushindi mwenzenu ameanza kuwageuka zile kelele zote ilikuwa njaa tu sasa hivi yupo kivulini kila mtu apambanie mwenyewe na hali yake
 

Attachments

  • Screenshot_20241115_092007_Facebook.jpg
    147.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…