Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Alimtoa nan mkuu? Anaonekana descent sanaAkamtoa mpaka mwenzieee
Kaziin
Dahuu mbona yuko vizuri mkuuIla wangemuacha tu dina arudi kwenye nafasi yake Huyo husna mi simuelewagi
Leo tena inanoga akiwepo dahuu na mussa Hussein pemben na gea Habib kidogo ila asipokuepo mussa mm sioni rahahuezi amini niliacha kusikiliza clouds the day Dina alipondoka sasa hivi efm kidogo sana
Yupohata sijui km kuna Musa siku hizi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona unataman wake zetu uku mkuuIla zamarad anajua kuvaa nguo za staha coz sijabahatika kuona Chura [emoji451] kila nikimvizia ageuke holla!! Ila naamini ana zigo zuri2 la kuvunja chaga,hahahaa ...I Wish I could Be Ruge