Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Huyoo zamaradi Hana usmart wowote kichwani ila anapangilia tu maneno vizuri na angechekewa huyu angekuwa mtetea haki za kina kaoge na James delicious ni experience tu ya utangazaji ndo inambeba angekuwa na akili wale wanae wakiume tena wadogo asinge wasuka vile baadae wakija kuwa hao watu anaowataka yeye kina kaoge
 
Ila zamarad anajua kuvaa nguo za staha coz sijabahatika kuona Chura [emoji451] kila nikimvizia ageuke holla!! Ila naamini ana zigo zuri2 la kuvunja chaga,hahahaa ...I Wish I could Be Ruge
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona unataman wake zetu uku mkuu
 
Back
Top Bottom