Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Hongera sana Zamaradi Mketema, nimekuelewa!

Za usiku wapendwa wa humu!

Mda si mrefu Gadner na Kibonde walikua wanamfanyia mahojiano mtangazaji wa clouds kipindi cha take one Zamaradi..

Kiukweli naomba nimsifu kwa kujitahidi kukitendea haki kipindi maana amejibu maswali vzr sana kwa hilo naomba nimpongeze na amejitahidi kua muwazi kwa uwezo wake

Amenigusa zaidi alipozungumzia kuhusu malezi ya watoto wake,namna mzazi wake alivyokua anajitahidi mwanawe asome vizuri ili kutimiza malengo yake na kubwa zaidi aliposema yeye ni simple sana na ni mtu wa kawaida sana akiwa nyumbani

Unaweza mkuta 'hyat regency kavaa dera na wala asijali kitu'
anaamini yeye ni zaidi ya dera...

Kwa kweli nimepata somo kubwa na nimezidi kujiamini na kuona kumbe kuna watu wapo km wewe!!

Cha msingi timiza malengo yako,Fanya kile cha mhimu ma chenye manufaa..kiukweli wengi tumekua tukimsema zamaradi na mavazi yake ila sasa tunapaswa tuangalie'uwezo wake wa kujenga hoja badalq ya mavazi'

Ahsanteni

Namsubiri tu ' amposti ' huyo Baba Watoto wake kwani huku mitaani tunalishana mno matango pori ( tunadanganyana ) mno.
 
Panda kwanza mazao ya muda mfupi au yale yanayovumilia ukame!
Sasa hivi si huko mikoani mvua zimeanza kunyesha?

Ukija huku jijini ndio tutakuonyesha huyo zamaradi
hahahaha, apande ya muda mfupi ya muda mrefu bwana yule kapiga marufuku😀😀😀
 
Panda kwanza mazao ya muda mfupi au yale yanayovumilia ukame!
Sasa hivi si huko mikoani mvua zimeanza kunyesha?

Ukija huku jijini ndio tutakuonyesha huyo zamaradi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tatizo la Zamaradi lipo kwenye namna yake ya kufikiri na wala sio mavazi yake tafadhali usituhamishe kwenye mada
 

Attachments

  • Screenshot_20170222-073830.png
    Screenshot_20170222-073830.png
    354.9 KB · Views: 46
Back
Top Bottom