sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja.
Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio tunajua namna gani Zuchu ni mkubwa mtaani ila tukisema inakuwa nongwa umu watu wanapanic.
Hongera sana malkia wa muziki east africa.
Hongereni BASATA kwa kutenda haki safari hii mnyonge mnyongeni mmetenda haki sana kwenye ugawaji wa tuzo japo mlianza kwa dosari kwenye mchakato.