sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kwa nini mkuu?Unahitaji therapy sio bure
BASATA kwenye maamuzi wametenda haki kwa nini tusiwapongeze hata kwenye ilo...wewe umeona kuna mtu analalamikia ugawaji wa tuzo? Tusiwe watu wa kupinga kila kitu.Ghafla BASATA wamekuwa wa maana,Lokole uko na shida kichwani!
Mtoto wa 2009 record nzuri utaitolea wapi?Sina records nzuri
Umri sio kujua records ndio maana kuna archives. Umeishia darasa la ngapi?Mtoto wa 2009 record nzuri utaitolea wapi?
Zuchu ni Queen watanzania wamethibitisha kupitia kura za ndio.Siku akijitoa wasafi utampopoa mpaka dunia ishangae binadamu wa ajabu sana.
Huyu ni Lokole? Duùuu sawa basi.......Umri sio kujua records ndio maana kuna archives. Umeishia darasa la ngapi?
BASATA kwenye maamuzi wametenda haki kwa nini tusiwapongeze hata kwenye ilo...wewe umeona kuna mtu analalamikia ugawaji wa tuzo? Tusiwe watu wa kupinga kila kitu.