Hongera serikali kusikia kilio cha tozo

Yaani ccm inastawi kwasababu ya idadi ya watu kama wewe. Hizo tozo zilipitishwa na kutekelezwa na nani na sasa nani amezifuta?
 
Bila kuondoa chanzo cha tatizo, yaani Mwigulu, bado wanatwanga maji kwenye kinu🙄
 
Yaani ccm inastawi kwasababu ya idadi ya watu kama wewe. Hizo tozo zilipitishwa na kutekelezwa na nani na sasa nani amezifuta?
Haka ni kachawa kadogo kanawinda uteuzi Kwa nguvu zote. Ona kalivyo kajinga na ka hovyo kabisa.

 
Tozo ya kutoa kwenye ATM mashine na kwa wakala iko pale pale, acha kusifia ujinga
 
Acha kupongeza wanachotakiwa wahusika ni kung'oka kwenye nafasi zao hatuwezi kubembelezana kiasi hiki.
 
Tozo zipo kisheria na ndio zinasaidia kuleta maendeleo kwenye maeneo mbalimbali nchini. Miradi inakamilika, shule zinajengwa, vifaa vinanunuliwa hopsitali kwa kutumia tozo. Tozo kwa maendeleo.
nitajie hiyo sheria
wewe utakuwa huelewi unachokitetea, na hujielewi ,nitajie sheria ya hizo tozo inaitwajwe na ya mwaka gani?
 
Kwann asifute ya miamala ya simu? Naona mnapromote kitu cha wachache...matajiri....ila maskini wengi wapo kwa mpesa...nk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmempa maswali mpk ametoka ndukii [emoji125]
 
Sioni sababu ya kuipongeza serikali kwa lolote lile kwa kuwa hayo ni majukumu yake na yapo kikatiba ila wasipofanya ni lazima tuwaulize kwa kuwa watakua wanaikanyaga katiba yetu
 
Chawa kazini !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…