Hongera Serikali kwa kufuta Law School. Sasa fanya na haya yafuatayo tafadhali. Utapendwa upendo wa kutoka moyoni na 85% ya wa Tanzania

Wewe ndio hujaelewa mkuu. Sheria mpya ya Law School Of Tanzania iliyo fanyiwa marekebisho inasema wazi kabisa kwamba " Law School Act " imekua repealed. Huhitaji kwenda Law school ili uwe Advocate au Hakimu.
 
Tangazo la kufutwa Law School umeliona wapi? nahitaji sana kuliona.
Ntakutumia link, sio tangazo mkuu ni sheria mpya imekuwa passed, Law School act ya 2007 imekuwa repealed.
 
Unatafuta nini kwa binti mtoto wa miaka 14? Moderators upuuzi huu uende moja kwa moja kwenye dust been
 
Mwanamke wa miaka 14 anawezaolewa KWA vile yeye hahusiki kutafuta hela.

Mwanaume wa miaka 14 hata kama amebalehe haruhusiwi kuoa KWA vile uwezo wake wa kutafuta hela ni mdogo.
Hata akiruhusiwa hakuna mwanamke atakae kubali kuolewa nae. Kuna wanaume wana ruhusiwa na sheria na kuoa lakini sheria ya logic inawakataza kuoa. Wanawake wanawakataa
 
Eliku inegawanyika makundi matatu

Kwanza basic.primary education

Pili badic secondary education

Tatu foundation degree course za kumwandaa mtoto kusoma degree ambazo ni hizo combination za form five na six

Mfano engineer anasoma PCM form five na six kumwaandaa kuchukua digrii

Huwez9 chukua mtu kamaliza form four ukapeleka digrii ni msuaji semester ya kwanza tu atafeli.masomo yote
 
Wee jamaa tangu uende Lindi na mtwara na kurudi sijui imekuwaje. Nilidhani waTutsi ni watu smart na intelligent.

Kwanza yuko wapi Matendo Manono?
 
Unatafuta nini kwa binti mtoto wa miaka 14? Moderators upuuzi huu uende moja kwa moja kwenye dust been
Hujaelewa hata Uzi masikini. Najua una mtoto wa kike. Don't take it personal. Ukweli ni kwamba wewe pamoja na ukali wako wote lakini hauwezi kumzuia binti yako mwenye umri wa miaka 14 asiwe na boyfriend.

Unacho weza kufanya ni kumchelewesha tu badala ya kuanza na miaka 12 at least aanze na 13 au 14.

Endelea kumuona mtoto hivyo hivyo. Utakuja kuukumbuka huu uzi
 
Kwahiyo akienda 5 and 6 ndiyo atajua kujieleza?

Tumepita huko 6 hakuna cha maana unachokipata nadhani wenzetu wa mbele huko hawana ujinga wa kile kinachoitwa 5&6 na ndiyo wabunifu na wagunduzi wa kila teknolojia mpya duniani.
 
Mna Compromise Quality kwa form 4 ya Kizmkaz daaaa
 
Wee jamaa tangu uende Lindi na mtwara na kurudi sijui imekuwaje. Nilidhani waTutsi ni watu smart na intelligent.

Kwanza yuko wapi Matendo Manono?
Mimi sio mtutsi kiongozi. By the way nimeandika kitu gani cha ajabu?
 
According to who?
 
Kwa sababu aliyeko kwenye uongozi ni form four failure haya maombi yanaweza kutekelezwa.
Form four kafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi na mambo yanaenda vizuri.

Wewe na ukoo wako hamuwezi kufika hapo alipofika unayemuita form four failure.

Ukweli ubaki kwamba 5&6 ni upotevu wa muda kwa mzazi na mwanafunzi maana unaingia gharama zisizo na ulazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…