Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamemkuta baba yangu.Pole sana mkuu hebu tupe kisa chako tujifunze
Hahaha nimecheka kwa sauti kubwaUmeanza….kanywe kwanza Dawa zako halafu rudi hapa tuendelee.
Ndio maana nimesema watakao pata division 1 ndo waende chuo. Vitu vya 5 na 6 vinaletwa O-levelMfano engineer anasoma PCM form five na six kumwaandaa kuchukua digrii
Huwez9 chukua mtu kamaliza form four ukapeleka digrii ni msuaji semester ya kwanza tu atafeli.masomo yote
Shauri yako! Wale Jamaa wa overall nyeupe watakuja wakubebe majirani zako wakikusikia, watajua tayari kichwa ime 🤯Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa
Suala siyo kuwa na boyfriend wakanukishana mikojo. Suala ni wewe mtu mzima kutaka uhalali wa kumpa fistula binti wa miaka 14.Hujaelewa hata Uzi masikini. Najua una mtoto wa kike. Don't take it personal. Ukweli ni kwamba wewe pamoja na ukali wako wote lakini hauwezi kumzuia binti yako mwenye umri wa miaka 14 asiwe na boyfriend.
Unacho weza kufanya ni kumchelewesha tu badala ya kuanza na miaka 12 at least aanze na 13 au 14.
Endelea kumuona mtoto hivyo hivyo. Utakuja kuukumbuka huu uzi
Nini cha tofauti kati ya hizo sheria mbili?Ntakutumia link, sio tangazo mkuu ni sheria mpya imekuwa passed, Law School act ya 2007 imekuwa repealed.
Inasikitisha sana mkuu ndio maana kila siku nawafundisha watu humu jamvini, acheni kupoteza mamilioni kujistress kusomesha watoto shule za English Mediums, wapelekeni Kayumba muwasimamie watafika tu chuo Kikuu. Hizo pesa wekezeni kwenye maendeleo. They just love the illusion of " My son /daughter will be a pilot, doctor or engineer"Yamemkuta baba yangu.
Naamini kama isingekua Mfumo wa elimu wa Tanzania wazazi wengi wangekua mbali sana kimaendeleo
Hii ni Bajeti ya Mzazi mwenye watoto wawili na anawasomesha mpaka chuo kikuu.
Chekechea miaka miwili wastani wa ada -900,000 TSh kwa mwaka hapo ni wastani tu na ni nche ya Usafiri.
900,000 X2=1,800,000
Msingi
7X 2,000,000= 14,000,000
Secondary
4X3,000,000=12,000,000
Advance
3,500,000x2=7,000,000
Chuo
3x4,000,000=12,000,000
Total 46.8 Milions kusomesha tuu mara 2 kama una watoto wawili ni 93.
Umemaliza kusomesha umechoka huna kazi mtoto hana kazi mnaanzakukasirikiana home.
According to science, Mtoto wa miaka 14 ana akili sawa sawa na mwanaume wa miaka 65.Suala siyo kuwa na boyfriend wakanukishana mikojo. Suala ni wewe mtu mzima kutaka uhalali wa kumpa fistula binti wa miaka 14.
Na ukute unaitwa uncle na kukaribishwa nyumba zenye watoto wa miaka 14 waliokuzidi umri.According to science, Mtoto wa miaka 14 ana akili sawa sawa na mwanaume wa miaka 65.
Mwenzako sina hata 40.
Mkui, miaka ya 90 nilikuwaga jambazi, section yangu ilikuwa dereva. Ilikuwa tukienda kwenye eneo la tukio, halafu baada ya tukio ukachelewa kuingia ndani ya gari hata kwa sekunde moja tu, basi nilikuwa nakuacha.Niliwaaacha zaidi ya watu 40. I hate slow people. Wewe pia ningekuacha na ungekuwa marehemu now cause ur very slow. Hata sijui umeuliza kitu gani hicho.Umeanza vizuri mpaka ulipotaka kumuingilia binti wa miaka 14 kwa kigezo cha kuvunja ungo. Mbona husemi kijana wa miaka 12 apewe majukumu ya kutunza familia sababu kaanza kumwaga manii?
Mkuu, Huwezi kumuacha usiyemwendesha, Ulikuwa unaendesha majambazi, Miaka ya 90 sikuwa jambazi.Mkui, miaka ya 90 nilikuwaga jambazi, section yangu ilikuwa dereva. Ilikuwa tukienda kwenye eneo la tukio, halafu baada ya tukio ukachelewa kuingia ndani ya gari hata kwa sekunde moja tu, basi nilikuwa nakuacha.Niliwaaacha zaidi ya watu 40. I hate slow people. Wewe pia ningekuacha na ungekuwa marehemu now cause ur very slow. Hata sijui umeuliza kitu gani hicho.