Hongera Serikali kwa kufuta Law School. Sasa fanya na haya yafuatayo tafadhali. Utapendwa upendo wa kutoka moyoni na 85% ya wa Tanzania

Hata akiruhusiwa hakuna mwanamke atakae kubali kuolewa nae. Kuna wanaume wana ruhusiwa na sheria na kuoa lakini sheria ya logic inawakataza kuoa. Wanawake wanawakataa
Hao wanaume wa miaka 14 Hawana hela au mali. Wakiwa na uhakika wa 2M KWA mwezi au ng'ombe 100 ,wanaoa na kuheshimiwa na mke
 
Wewe ndio hujaelewa mkuu. Sheria mpya ya Law School Of Tanzania iliyo fanyiwa marekebisho inasema wazi kabisa kwamba " Law School Act " imekua repealed. Huhitaji kwenda Law school ili uwe Advocate au Hakimu.
Hakuelewa waziri katamka kuwa sio wote wanaoasoma law wanataka kuwa advocates
Law School inabaki tu kwa wale wanaotaka kuwa mawakili

Huwezi kuwa wakili popote Duniani bila kupitia law school
 
Haijafutwa.

Ngoma iko pale pale.
 
Sheria ya Law School imefutwa?!!

That's a big misconception, and it is very misleading !

-Kaveli-
 
Tatizo ni lile lile ELIMU ELIMU ELIMU, watu wanasoma juujuu kabla hajaelewa, anakurupuka Law school yafutwa😁
 
Tatizo ni lile lile ELIMU ELIMU ELIMU, watu wanasoma juujuu kabla hajaelewa, anakurupuka Law school yafutwa😁
Law School Act imekuwa repealed. Labda kama wewe ndio hujaelewa
 
Hao wanaume wa miaka 14 Hawana hela au mali. Wakiwa na uhakika wa 2M KWA mwezi au ng'ombe 100 ,wanaoa na kuheshimiwa na mke
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Comment ya mwaka
 
Hata kwenye maandiko matakatifu Bikira Maria mama wa Yesu alipata mimba ya Yesu akiwa na miaka 12 na alijifungua akiwa na miaka 13. hii imeandikwa wapi ktk Bibilia
 
Nchi ina watu wajuaji sana.
 
Je akimaliza form four akaenda college level 4 na 5 SI ni sawa?? Mbona huko ulaya walipoendelea form five na six HAINA tija kihivyo?? Watoto wanamaliza secondary wanaenda college Kisha university
 
Wewe ndio hujaelewa mkuu. Sheria mpya ya Law School Of Tanzania iliyo fanyiwa marekebisho inasema wazi kabisa kwamba " Law School Act " imekua repealed. Huhitaji kwenda Law school ili uwe Advocate au Hakimu.
Acha ubishi.

Nionyeshe neno "repelled" hapoπŸ‘†
 
Je akimaliza form four akaenda college level 4 na 5 SI ni sawa?? Mbona huko ulaya walipoendelea form five na six HAINA tija kihivyo?? Watoto wanamaliza secondary wanaenda college Kisha university
A very good question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…