Hongera Serikali kwa kufuta Law School. Sasa fanya na haya yafuatayo tafadhali. Utapendwa upendo wa kutoka moyoni na 85% ya wa Tanzania

Maelezo zaidi tafadhari hapo kwenye mtoto Binti wa miaka 14 amuendeshe dingi wa miaka 50
 
Law sikull/skull imekula sana dadaz zetu..
Rushwa warushe
je nI sababu ya kuifuta ? vyuo vinasubir nn kufutwa ?

mitizamo yetu watu weusi ni kungalia shortcut solution na sio better solution kumaintain status
 
je nI sababu ya kuifuta ? vyuo vinasubir nn kufutwa ?

mitizamo yetu watu weusi ni kungalia shortcut solution na sio better solution kumaintain status
Kumaintain status kwa wakufunzi wapi?
Hawa wauza naniii....
 
Kwa hiyo baada ya kuona wanasheria vilaza wanafeli sana wameamua kuifuta??

Ndio watakuwa na akili?πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Afadhali nimepita huku leo, kidogo kuku wangu wangeshinda na njaa.πŸ₯ΊπŸ™
 
Kuishia form 4 na kwenda chuo ni wazo zuri.

Hapo inatakiwa mtaala wa Elimu ubadilike Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari. Laasivyo tutazalisha wasomi wa ajabu sana, huu mtaala wa kujifunza kilimo cha Buni-Brazil, uwimbombo na Ulindi,
 
Mengi maziri yatatekelezwa na Serikali ijayo chini ya Rais mpya mwenye uwezo mkubwa na anayejiamini na asiye na tamaa ya kujilimbikizia mali.
 
Ulianza vzr, lakini haya Mambo ya kukomalia umri wa kuoa binti, no upuuzi mtupu,
Dunia IPO kwenye sayansi na tekinolojia, sie tunawaza kuoa vibinti vibichi!
Wakati sie tunajivunia sgr yetu ya umeme, Japan, wana train inayoenda kwa nguvu za usumaku!
 
Rubbish.
Consent age eti iwe 14 yrs. Nenda Iraq au Afghanistan kwenye watu wasio na akili.
Unaleta uislam kwa nchi isiyo na dini?
 
Watz sisi wavivu sana kusoma, kuna mmoja alikuja na hii story kwenye kijiwe aliwashika sana raia, mpaka kumuelekeza nae ndio akaelewa, anakwambia Law school imefutwa πŸ˜ƒ
 
Sadly ndizo nyakati tumefikia.

Mleta mada anao wenzake wengi tu ambao wakiangalia jinsia ya kike hawaoni utu wake kwanza, wanaona uchi wake kwanza.

So so sad!!
Hana Mtoto wa kike, hata akimfikiria huruma za Baba kwa binti yake zimpe akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…