Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

Hongera Serikali kwa kusitisha usaili wa Walimu: Tunashauri utaratibu wa zamani utumike kwa kupangwa vituo na TAMISEMI

Usaili Kwa walimu ni muhimu sana Kwa sababu kunabaadhi ni vichaa wanapiga hovyo watoto Hadi wanasababisha mauaji.usaili ni pamoja na kuwabaini Hawa vichaa
 
Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.

Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!

Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).

Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
Acha kujifariji usaili upo pale pale! Kuviamini vyuo vya ualimu, kwa hiyo vyuo vingine haviaminiwi ndo maana wanafanyishwa usaili???? Nyie walimu mna shida kweli, usaili kazi yake ni kuleta usawa, na kuondoa manunguniko miongoni mwatu!! Hebu sasa nipe creteria wanaoitumia tamisemi ikiwa kwenye somo la history wanaohitajika ni 286 na waliomba ni 28000, kama sio rushwa na vimemo! Acha utumishi ifanye kazi kama afya walifanyiwa itakuaje walimu, kama ulikariri chuoni ndo utajua hujui!
 
Mnaogopa nini madogo? Tulieni, mtasailiwa tu.
Mkajielezee wawapime kama mnastahili.
 
USAILI ni muhimu,huko TAMISEMI kama huna mtu hupati kazi.Hao Utumishi ni watenda haki,acha watu washindnishwe na kuajiriwa.Lakini pia hili ni funzo kwa Serikali ya kuwa suala la Ajira ni tatizo.Mfumo wa Ajira uliharibiwa enzi za Serikali ya Awamu ya Tano.

Mtu kuajiriwa bila usaili bado watu mtakuja kulalamika.Kiufupi ni kwamba hao wote waliiotiwa usaili wana sifa za kuajiriwa.Sasa aachwe nani na achukuliwe yupi.Ni kheri wachujwe tu.

Wanaotaka mfumo wa zamani watakuwa na watu wao TAMISEMI.

USSR
GENTAMYCINE
Sekretarieti ya Ajira
Unaweza ukaniambia ni kwanini labda Umenitaja (Mention) hapa?
 
Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Cc: Mahondaw
 
Mnalumbana bure hakuna ajira hapo ni usanii tu yaan kila kitu siasa, kwenye bajeti ya 2024/25 hapakuwepo na bajeti ya kuajiri . danganya wapiga kura ili wakupigie kura ccm bhana!!!!!!!
 
Mnalumbana bure hakuna ajira hapo ni usanii tu yaan kila kitu siasa, kwenye bajeti ya 2024/25 hapakuwepo na bajeti ya kuajiri . danganya wapiga kura ili wakupigie kura ccm bhana!!!!!!!
Ma CCM ni Mbwa
 
Kwahiyo wahitimu wote wa chuo kikuu wanapaswa kuajiriwa 1 kwa 1 bila usaili kwa kuwa vyuo vinatosha?
Rufia kusoma taratibu Mkuu....

Narudia tena, kuwa kazi hiyo Inaweza kufanywa na vyuo vyenyewe ila sijaandika popote kuwa kila mwanachuo anafaa.​

Rufia kusoma taratibu Mkuu....

Narudia tena, kuwa kazi hiyo Inaweza kufanywa na vyuo vyenyewe ila sijaandika popote kuwa kila mwanachuo anafaa.​

Nadhani hufahamu chochote kuhusu usaili.
Kwenye ajira, suala la usaili ni lazima, usaili hauwezi kuepukika, mfumo wa kusaili ndio unaweza kuwa tofauti.
Vyuo vinakufundisha ili ukapambane kwenye usaili, na sio jukumu lake kukusaili ili akaajiriwe maana chuo hakikuajiri.

Hivi ujiulizi kwanini vyuo vinapotaka kuajiri watumishi wake pia hufanya usaili kwa wahitimu hata kama wamehitimu kwenye chuo hicho?
 
Point
 
Kuna mahali kuna shida kwenye mifumo yetu ya elimu.
Tupo so reactive kwenye output kuliko process
 
utaratibu huo pia utumike kwa kada zingine kama udaktari, uhasibu, uhandisi, kwa kifupi ajira portal iondolewe, ili kutoa haki kwa kada zote kupangiwa kazi bila usahili
 
utaratibu huo pia utumike kwa kada zingine kama udaktari, uhasibu, uhandisi, kwa kifupi ajira portal iondolewe, ili kutoa haki kwa kada zote kupangiwa kazi bila usahili
Walimu wanadeka,,ila seems like Serikali this year hawatofanyisha usahili kada ya Elimu
 
Back
Top Bottom