Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujifariji usaili upo pale pale! Kuviamini vyuo vya ualimu, kwa hiyo vyuo vingine haviaminiwi ndo maana wanafanyishwa usaili???? Nyie walimu mna shida kweli, usaili kazi yake ni kuleta usawa, na kuondoa manunguniko miongoni mwatu!! Hebu sasa nipe creteria wanaoitumia tamisemi ikiwa kwenye somo la history wanaohitajika ni 286 na waliomba ni 28000, kama sio rushwa na vimemo! Acha utumishi ifanye kazi kama afya walifanyiwa itakuaje walimu, kama ulikariri chuoni ndo utajua hujui!Ni mbumbumbu tu anayeweza kuamini kuwa usaili ndio wenye uwezo wa kutupatia walimu bora!! Usaili unasaidia tu kuondoa wengine na kubakiza wachache kulingana na nafasi zilizopo!! Utaratibu wa usaili haufai kabisa kwa taaluma ya ualimu na afya.
Utaratibu wa zamani wa TAMISEMI kuwapangia walimu na watumishi wa afya vituo vya kazi kwa utaratibu wa FOLENI huo ndio unaofaa!! Kila aliyehitimu anafaa!! kama hafai kutokufaa kwake hakuwezi kugundulika kwa usaili!!
Inabidi tuviamini vyuo vilivyowafundisha na kuwatunukia vyeti vya kuhitimu!! Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Hali kadhalika kwa walimu!!
Ndiyo maana watu wengi wameipongeza serikali kwa sitisho hilo wakiamini kuwa utaratibu wa zamani utarudishwa!! Kuwafanyisha usaili walimu walio malaki ni uharibifu wa rasilimali fedha na muda!!
Unaweza ukaniambia ni kwanini labda Umenitaja (Mention) hapa?USAILI ni muhimu,huko TAMISEMI kama huna mtu hupati kazi.Hao Utumishi ni watenda haki,acha watu washindnishwe na kuajiriwa.Lakini pia hili ni funzo kwa Serikali ya kuwa suala la Ajira ni tatizo.Mfumo wa Ajira uliharibiwa enzi za Serikali ya Awamu ya Tano.
Mtu kuajiriwa bila usaili bado watu mtakuja kulalamika.Kiufupi ni kwamba hao wote waliiotiwa usaili wana sifa za kuajiriwa.Sasa aachwe nani na achukuliwe yupi.Ni kheri wachujwe tu.
Wanaotaka mfumo wa zamani watakuwa na watu wao TAMISEMI.
USSR
GENTAMYCINE
Sekretarieti ya Ajira
Natamani useme jambo pia..Unaweza ukaniambia ni kwanini labda Umenitaja (Mention) hapa?
Kuna mambo yanafurahisha sana...Daktari asomee taaluma yake kwa miaka 6 kisha bodi yake ikampima na kumpatia leseni, halafu anakuja mtu anadai anaweza kupima ubora wa daktari huyu kupitia usaili wa dakika chache tu kwa siku moja! (haya ni matusi).
Kimsingi sio serikali kujiongezea majukumu. Ni wapiga dili wanatafuta pahala pa kupigia.Vyuo vinatosha kufanya usaili Serikali inajingezea majukumu tu
Ma CCM ni MbwaMnalumbana bure hakuna ajira hapo ni usanii tu yaan kila kitu siasa, kwenye bajeti ya 2024/25 hapakuwepo na bajeti ya kuajiri . danganya wapiga kura ili wakupigie kura ccm bhana!!!!!!!
Nadhani hufahamu chochote kuhusu usaili.Rufia kusoma taratibu Mkuu....
Narudia tena, kuwa kazi hiyo Inaweza kufanywa na vyuo vyenyewe ila sijaandika popote kuwa kila mwanachuo anafaa.
PointNadhani hufahamu chochote kuhusu usaili.
Kwenye ajira, suala la usaili ni lazima, usaili hauwezi kuepukika, mfumo wa kusaili ndio unaweza kuwa tofauti.
Vyuo vinakufundisha ili ukapambane kwenye usaili, na sio jukumu lake kukusaili ili akaajiriwe maana chuo hakikuajiri.
Hivi ujiulizi kwanini vyuo vinapotaka kuajiri watumishi wake pia hufanya usaili kwa wahitimu hata kama wamehitimu kwenye chuo hicho?
mbona tangu kuumbwa kwa ulimwengu ilikua hivyo?Kwahiyo wahitimu wote wa chuo kikuu wanapaswa kuajiriwa 1 kwa 1 bila usaili kwa kuwa vyuo vinatosha?
Oohmbona tangu kuumbwa kwa ulimwengu ilikua hivyo?
Walimu wanadeka,,ila seems like Serikali this year hawatofanyisha usahili kada ya Elimuutaratibu huo pia utumike kwa kada zingine kama udaktari, uhasibu, uhandisi, kwa kifupi ajira portal iondolewe, ili kutoa haki kwa kada zote kupangiwa kazi bila usahili
Usaili upo pale paleWalimu wanadeka,,ila seems like Serikali this year hawatofanyisha usahili kada ya Elimu
AlrightUsaili upo pale pale