Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson

 
HAMZA katuharibia UVCCM
 
Wanakuja wapumbavu flani wataokwambia kuwa huo ni wajibu wa serikali wala si hisani hadi uwape hongera
 
Malipo ya awali ni asilimia ngapi? Hizo ndege zinakuja lini? Habari nusu nusu bora kukaa kimya.
 
RIP Hamza shujaa wa wanyonge wanaoonewa na serikali ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…