Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wajinga ndio Waliwao Mwendazake alikuwa a awaambia tunanunua kwa Fedha za Ndani kumbe Mikopo Mitupu"Serikali imefanya malipo ya awali ya ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pia serikali imefanya malipo ya Bil. 50 kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere"- MsigwaGerson
View attachment 1923519
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app