Hongera serikali ya CCM, malipo ya ndege tano, mradi wa kufua umeme (JNHPP) yafanyika bila mkopo

Wajinga ndio Waliwao Mwendazake alikuwa a awaambia tunanunua kwa Fedha za Ndani kumbe Mikopo Mitupu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hamza anapita tu, wala hausiki na hii maada, yeye hana shida na mtu anawataka polisi tuView attachment 1923506
ugomvi wa aina hii huwaga hauishi!! mie simo!! kwa nini umemvalisha kibalaghashia wazi ivi? na ndevu kama zote? halafu umemshikisha bunduki tena mbili kizezeta kwani umeambiwa hajui kufikiri?
 
Wewe bwana acha ujinga, malipo bila mkopo wapi wakati jana tu nchi imekopeshwa trillion 1.3?! Acha kutetea ushenzi wa serikali za ccm.
 
Wao wanauza meli kwa sababu ya hasara
Na sisi tunanunua ili tupate hasara yaani kupanga ni kuchagua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ndege tayari zingeshafungua mgodi wa Liganga na Mchuchuma tukaanza kupata faida toka mwaka wa kwanza. Lakini kwa akili yetu tumechagua anasa kwanza halafu tunatafuta mwekezaji kwenye mgodi.

Hivi haiwezekani tukawaachia ndege wawekezaji halafu sisi tukawekeza kwenye migodi yetu? Walau 50 %...!!
 

Hizo ndege kuna watu wamepiga % za kutosha
Kila anaepata fursa anaitumia haswa
Halafu tunajiita wazalendo na patriots na kuvaa bendera
Watu hawajali ilimradi matumbo yanajaa
 
Kwanini hiyo bil 200 isiende nyerere halafu hiyo 50 ndio iende kwenye ndege? Cha muhimu kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…