Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

Acha ushamba!! Kwenye ulimwengu wa soka mishahara siyo siri hata kidogo, na Tanzania siyo kisiwa! Usiri hulenga uonevu!! Anayeruhusiwa kuamua mshahara wake uwe siri ni kocha mwenyewe na anafanya hivyo kwa maandishi!! Ona hapa:

Highest Paid Premier League Manager Said To Earn More Than Arsenal & Chelsea Bosses Combined​

A report by a British newspaper has published salary figures for all 20 current managers in England's Premier League.
According to the information, no Premier League manager earns as much as Manchester City's Pep Guardiola, who is said to be on £19m per year.
Liverpool boss Jurgen Klopp is apparently second in the pay table on £16m per year - just over £300,000 per week.
Tottenham's Antonio Conte (£15m per year) and Leicester's Brendan Rodgers (£10m) are the only other Premier League managers credited with eight-figure salaries.
These numbers were published by The Sun this week alongside the news that Arsenal manager Mikel Arteta is set to increase his pay to £8.3m per year, putting him fifth on the list.
Arteta will soon be earning more than Chelsea manager Thomas Tuchel (£7m), despite the German leading his side to Champions League and FIFA Club World Cup glory.
Dean Smith and Thomas Frank are reportedly the joint-lowest earners (£1.5m each) among the Premier League managers.
But they could be among the highest-earning bosses in the Championship next season as Norwich and Brentford are both prime candidates for relegation.
Antonio Conte and Pep Guardiola shake hands after Tottenham's 3-2 win at Man City in February 2022's 3-2 win at Man City in February 2022
Aseeee.......
Kazi ipo, unaulizwa kocha gani mzungu mshara wake ulikuwa wazi?
Unaniletea makocha wa Ulaya.

Bongo hii hakuna mshahara wa mchezaji au kocha utakuwa rasmi hadharani, utaishia kuskia inasemekana....

Usiri ni lengo la kunyonga? , na aliyesaini kaona poa tu ila wewe sasa.
 
Alipwe mshahara mzuri mimi hayo ya ni sh ngapi sitaki kujua muhimu tumpe salary inayoonesha tumetambua thamani yake

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kuwa unachokiita wewe kuwa ni mshahara mzuri unajilinganisha na kipato chako cha m1 au m2. Kwa hiyo ukiona kapewa m5 wewe utasema ni mshahara mzuri!! Hiyo HAPANA. Apewe mshahara kulingana na jinsi walivyokuwa wanawalipa makocha wa kigeni!! Huwezi kutegemea kocha wa kigeni apewe m5!! Lakini wabongo hawana aibu!! wanaweza kumwiliza kwani coastal union walikuwa wanakupa shilingi ngapi? Kwa hiyo sisi tunakupa mara mbili yao!! Hapo keshapigwa tayari!!
 
Aseeee.......
Kazi ipo, unaulizwa kocha gani mzungu mshara wake ulikuwa wazi?
Unaniletea makocha wa Ulaya.

Bongo hii hakuna mshahara wa mchezaji au kocha utakuwa rasmi hadharani, utaishia kuskia inasemekana....

Usiri ni lengo la kunyonga? , na aliyesaini kaona poa tu ila wewe sasa.
Na hawa si walikuwa wanafundisha soka ha afrika? Je Tanzania siyo afrika?

Viongozi wa Simba wasimwonee wivu wala wasimbanie!! Mgunda atafanya maajabu!! Ni mbunifu sana!! Ameihamasisha timu na amewapa wachezaji kujiamini sana na kila mmoja anaona ana nafasi!! Tutunze hazina hii!
Mshahara wa mkwasa kwa mwezi unaujua?
Minziro?
 
Na hawa si walikuwa wanafundisha soka ha afrika? Je Tanzania siyo afrika?

Hapo mtasemaje tena? Soka linaloendeshwa Tanzania linapaswa kufuata kanunu na utaratibu na utamaduni huo huo wa soka ulimwenguni kama tunataka kutoboza kwenye soka la kimataifa!!
 
Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi kuyapata kwa makocha Wazungu.

Angalizo langu ni kuwa isitokee hata kidogo kuwa simba wamempa nafasi hiyo kama namna ya kubana matumizi kwa kumpa mshahara mdogo!

Hiyo itakuwa ni laana. Kama ambavyo mishahara ya makocha wa kigeni huwa inawekwa wazi (na huu ndiyo utamaduni wa kwenye soka), tunaitaka Simba iweke hadharani mshahara wa mgunda kama Kocha Mkuu wa Simba! Tusisikie eti mnampa vi milioni 10 - 20 huo utakuwa ni uchawi na kutaka kunyanyasa makocha wazawa! Napendekeza kuwa Mgunda apewe mshahara si chini ya kocha yeyote wa kigeni aliyeifundisha Simba hivi karibuni!

Nawasilisha!
20221015_060413.jpg
 
Ila hofu yangu ni kuwa huyu kocha msaidizi wa kudumu huenda akaona wivu!! Napendekeza na yeye apewe mshahara mzuri!!
 
Ila hofu yangu ni kuwa huyu kocha msaidizi wa kudumu huenda akaona wivu!! Napendekeza na yeye apewe mshahara mzuri!!
Ataonjae wivu wakati CAF licence class A hana na watu wake wa karibu huwa wanamshauri akajiendeleze yeye anabweteka na mwisho wa mwaka huu wanamuambia aende akajiendeleze
 
Inapaswa pia iwe wazi!
Nadhan tuache uongozi wa simba ufanye kile ambacho ni sahihi ambacho hakitaumiza upande wowote iwe kwa club au coach mngunda na unajua fika kuna watu walikuwa wanapiga pesa klabuni kwa mikataba ya hovyo yule mama wa shoka kafumua kila kitu
 
Ninahisi mishahara ya makocha wa bongo ikiwekwa wazi kutakuwa na mshtuko mkubwa sana!! Unaweza kuta kuna makocha wanalipwa kilo 4 au 5 kwa mwezi!! Halafu tunategemea tuweke ushindani kwenye ulimwengu wa soka!
 
Wewe pia ni mwanasoka, hebu weka hapa salary slip Yako, uoneshe huo uwazi Kwa mifano halisi.🤦🏾🤦🏾
Taratibu kwenye ulimwengu wa soka ni za wazi zaidi kuliko sehemu zingine zote! Mind you tunazungumzia soka!
 
Lakini uwazi ndio utaratibu wa kwenye soka!! labda kama kocha mwenyewe apende iwe siri!
Sio utaratibu ila ni hulka Hasa Kwa jamii zilizostrabika ambako level za critical thinking na ustaarabu Ziko juu! Hebu fikiria mshahara wa mgunda mashabiki wanaambiwa ni ml 20... Nini kitatokea??
Wachambuz Wetu wataacha kuongelea Soka na kujadili mshahara?
Familia Huko Kwa mgunda ni vita mura wanaona ndgu Yao anapesa
Mashabiki wa yanga na Simba nao vurugu kujadili.

Tisa kumi yote hya yanakuja kuiathir timu.mambo ya kutangaza mshahara tuachie wwnzetu kwanza, Akili zikue kwanza.
 
Well said bro.

Back
Top Bottom